Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
watu wenye ushawishi
Zitto ana ushawishi gani zaidi ya maji-taka?
watu wenye ushawishi
Ruzuku na pesa za misaada kuishia Makao makuu hazifiki kwenye Mashina Viti maalum uteuzi wake hauzingatii vigezo Ukabila Ukanda M/kiti kujilipa Madeni kiaina kwa Pesa za Chama huku akijilusha kimapenzi na baadhi ya Wabunge Wa kike na Vioja vinginevyo Vingi sana ! Sasa ukitaka Moto ukuunguze jaribu kuhoji Haya ! hata Marehemu Chacha Wangwe alipoanza kuhoji Haya ndipo alipoundiwa Zengwe Siri zote anazo Mungu Pia Deus Malya .R.I.P chacha wangwe Mzimu wake umebisha hodi kivingine kwani Yale yote aliyokuwa akiyapinga bado yapo na Hakuna Mtu anayethubutu kuyahoji ! Ukithubutu tu unavuliwa uanachama kwa kisingizio cha usariti hata Kama wewe si Msariti utaundiwaMchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Metahli ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....
Ruzuku na pesa za misaada kuishia Makao makuu hazifiki kwenye Mashina Viti maalum uteuzi wake hauzingatii vigezo Ukabila Ukanda M/kiti kujilipa Madeni kiaina kwa Pesa za Chama huku akijilusha kimapenzi na baadhi ya Wabunge Wa kike na Vioja vinginevyo Vingi sana ! Sasa ukitaka Moto ukuunguze jaribu kuhoji Haya ! hata Marehemu Chacha Wangwe alipoanza kuhoji Haya ndipo alipoundiwa Zengwe Siri zote anazo Mungu Pia Deus Malya .R.I.P chacha wangwe Mzimu wake umebisha hodi kivingine kwani Yale yote aliyokuwa akiyapinga bado yapo na Hakuna Mtu anayethubutu kuyahoji ! Ukithubutu tu unavuliwa uanachama kwa kisingizio cha usariti hata Kama wewe si Msariti utaundiwa Zengwe la kijanja hadi waumini wa M/kiti wakuone ni Msariti kiufupi wana mbinu za kuwalisha maneno mashabiki wao mpaka wanasahau mapungufu Yao na kuwashambulia wengine kwa kigezo cha UsaritiMchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Metahli ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....
CDM haiwezi kufa......!! itadumu ila unasahau kuwa NCCR na CUF zilikuwa maarufu sana kabla ya CDM...
Kuna kipindi M/kiti alijaribu kubalance Ukabila akamleta kijana toka Tarime na kumweka pale makao makuu Kama Msaidizi wake Lakini kwa kutojua Yule kijana akaandika kitabu cha kumbukumbu cha Maisha ya Chacha Wangwe kimya kimya pasipo kujua kuwa Mkiti Kuwa hapendi Msaidizi wake amkumbuke Chacha Wangwe yule kijana Siku alipotaka kukizindua kitabu tu M/kiti akajua ni Siku hiyo hiyo akamfukuza toka makao makuu na kupata Misuko suko ambayo haifai kuhadithia kwani hadi lap top yake iliporwa huyo kijana amehamia NCCR ukitaka akupe story nenda pale NCCR muulizie Yule kijana aliyetunga kitabu cha Maisha ya Chacha Wangwe watakuonyesha muulize maswali yote utapata jawabu.
Migogoro ndiyo imevifanya vipoteze mvuto kwa wtanzania ambao wengi wao walihamia CDM na vyama vingine.....
Viko wapi visu vya Cuf alivyovitangaza Mahita? Au hiyo ndio migogoro?
Umeona eeh....
kukalili siyo kujifunza.....!!! Kujifunza ni kuelewa.... rudi darasani!!! Au soma vizuri katiba ya Nchi na ya CDM utapata ukweli... Acha kukalili.
Inaonekana ulikomenti bila kusoma post..... Soma kwanza na uilewe alafu tupia mawazo yako humu....
Zitto ana ushawishi gani zaidi ya maji-taka?