Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Mie nashangaa upande ulioshindwa kukubali maamuzi hiyo jana ......!!

Lakini nilitoa maoni na maulizo mapema sana juu ya upokeaji, ukubalikaji wa hayo matokeo au hukumu ilotoelewa jana,

Chadema jipangeni kwa mengine, si muda wa kutoa matusi na kashfa,
 
Unayo haki ya kusema mi CCM lakini waliokuwa mahakamani ni wanachama wa CDM hilo halina swali japo mnajaribu kuupotosha ukweli kwa kusingizia oooooh wamekodiwa na wanashabikia Mbowe hawajakodiwa... ukitaka ukweli jaribu kucheki hata kwenye FB Dr. Slaa ana FOLLOWERS 10000 na... lakini ZZK ana Folllowers 36000 na.... Je,hii haitoshi kujua Kiongozi wa kweli CDM ni nani.... Je, hii haitoshi kujua CDM inasafiria nyota ya nani????!!! au unabisha????
Fuatilia twitter trend ndio pia inaonyesha Zitto yuko mbali sana na huyo Dr. Slaa...
 
Then what? atafanyakazi na katibu yupi? M/Kiti yupi?...wajumbe wepi? kwanini msiwe wakweli wa nafsi zenu kuwa amefanikiwa kutetea posho zake za ubunge na uenyekiti wa PAC? Mlarushwa mkubwa kama Zitto kuwa M/Kiti wa kamati ya Bunge i.e watch dog committee inayochunguza mashirika ya umma huoni kuwa kuna walakini?...kweli wajinga ndio waliwao...Mahakama ilikuwa haina namna zaidi ya kuitikia wito wa Rais na Mwenyekiti wa CCM... Ukweli huu utasimama mpaka siku ya mwisho wa dunia kuwa Zitto si Msafi na CCM wako nyuma yake kujaribu kudhoofisha upinzani... After all in saltation Zitto atasubutu kumwangalia Mbowe na Viongozi wake kweli...Kijana aliechukuliwa kibohehe secondary alikokuwa anashindwa hata kwenda likizo kwa kukosa nauli leo anauwezo wa kuingia kwenye propaganda chafu ya kumchafua master wake ? Anazuia harakati za kuokoa Tembo, Madini na Gesi mali halali ya Watanzania? ama kweli kizazi cha nyoka itaendelea kuwa kizazi cha nyoka hadi mwisho wa dunia...

Mkuu hata sisi wengine tunajua kinachompeleka mahakamani ni posho na mshahara wa ubunge na terminal benefit za ubunge hapo 2015.Atapambana kwa hilo lakini si ukombozi na uzalendo kama anavyojiita
 
Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Metahli ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....

Nakubaliana na wewe. Ni kutokana na udhaifu huo wa uongozi ndio maana kina Shoza na wenzake walipokea pesa kuihujumu CDM. Vile vile na kubaliana na wewe, ni kutokana na udhaifu huo, ZZK alikisaliti chama kwa kusaidia wagombea kadhaa wa ubunge kupitia CCM wapite bila kupingwa. Kama hiyo haitoshi, ni kwa udhaifu huo pia uliwezesha baadhi ya wana CDM kuandaa waraka wa mabadiliko, wakitoa tuhuma mbalimbali za uongozi nje ya utaratibu halali wa chama kwa maana ya vikao. Nakubaliana na wewe kabisa!
 
Unayo haki ya kusema mi CCM lakini waliokuwa mahakamani ni wanachama wa CDM hilo halina swali japo mnajaribu kuupotosha ukweli kwa kusingizia oooooh wamekodiwa na wanashabikia Mbowe hawajakodiwa... ukitaka ukweli jaribu kucheki hata kwenye FB Dr. Slaa ana FOLLOWERS 10000 na... lakini ZZK ana Folllowers 36000 na.... Je,hii haitoshi kujua Kiongozi wa kweli CDM ni nani.... Je, hii haitoshi kujua CDM inasafiria nyota ya nani????!!! au unabisha????

basi millard ayo angekua raisi ka idadi ya followers inadertemine ni nani kiongozi bora...
 
We kweli hamnazo..... majibu unayo kumbe alafu unauliza maswali??, We hujitambui!!! kwani wewe hujui kuwa Millard Ayo ni moja ya waandishi wa habari AIKONI hapa bongo???? Hivi umaarufu wa Jerry Mulo enzi za Report Maalumu na Usiku wa Habari unaweza kuulinganisha na mwanahabari yupi???
 
Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Metahli ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....

Huu ushauri ungeutoa kwa chama (viongozi) wenye mtazamo na dhamira ya kweli ya kuwakomboa watanzania ingepewa kipaumbele, lakini kwa hii chadomo inayoendeshwa kwa malengo binafsi ya waanzilishi na viongozi wao, hauna nafasi.

Hivi wamfuate mtu kama Dr Salim kwa mfano, au Warioba, alafu kati ya atakayoshauri iwe ni matumizi yaliyo na uwazi na nidhamu kwa pesa za chama, pia ashauri uwepo wa demokrasia na kuheshimiana, unadhani ataambulia nini........labda kabla hawajakaa ahakikishe hapo wanapokutana hakuna red brigade around.....au Lema...
 
Siasa za Tanzania hovyo , tunasifia hata ujinga, CHADEMA hovyo , CCM hovyo, CUF hovyo sijui tukimbilie wapi

Sidhani kama vyama ni ovyo ila baadhi ya Viongozi na wanaoongozwa ndiyo wana matatizo.......
 
Huu ushauri ungeutoa kwa chama (viongozi) wenye mtazamo na dhamira ya kweli ya kuwakomboa watanzania ingepewa kipaumbele, lakini kwa hii chadomo inayoendeshwa kwa malengo binafsi ya waanzilishi na viongozi wao, hauna nafasi.

Hivi wamfuate mtu kama Dr Salim kwa mfano, au Warioba, alafu kati ya atakayoshauri iwe ni matumizi yaliyo na uwazi na nidhamu kwa pesa za chama, pia ashauri uwepo wa demokrasia na kuheshimiana, unadhani ataambulia nini........labda kabla hawajakaa ahakikishe hapo wanapokutana hakuna red brigade around.....au Lema...

Mawazo yako ni mazuri sana.....!!! Tatizo wabongo hatuukubali ukweli na ushauri wa kitaalamu... imefika mahali kila kitu kimekuwa siasa na propaganda hata mambo ya kisayansi tunalazimisha siasa...... Ona aibu iliyompata mwanasheria nguli Tundu Lissu.....
 
Hoja isiyo na Mashiko kabisa!

Walewale wenye kueneza propaganda za magamba magumu!

Km Cdm isipokufa mtajificha wapi?

Siasa za kucheza kila aina ya Rafu ndio zinazo Endelea!
 
Hii ni kesi ya kwanza kwa Mh Lissu kushindwa? Km sio ya kwanza cha ajabu ni nini?

Mtu ukimshambulia sn bila hoja ya msingi ndio kwanza unazidi kumuongezea umaarufu!
 
Mkuu hata sisi wengine tunajua kinachompeleka mahakamani ni posho na mshahara wa ubunge na terminal benefit za ubunge hapo 2015.Atapambana kwa hilo lakini si ukombozi na uzalendo kama anavyojiita

Hivi kama nimesahau vile......!!! Kati ya Wabunge wa CDM ni nani asiyepokea posho mpaka sasa! Naomba unikumbushe....
 
Hii ni kesi ya kwanza kwa Mh Lissu kushindwa? Km sio ya kwanza cha ajabu ni nini?

Mtu ukimshambulia sn bila hoja ya msingi ndio kwanza unazidi kumuongezea umaarufu!

Nakubaliana na wewe.....!! Ila ninachokiona mimi ni kuwa Zitto kwa sasa ni maarufu na kavunja record kumshinda mwanasheria nguli kama Tundu Lissu...
 
Hoja isiyo na Mashiko kabisa!

Walewale wenye kueneza propaganda za magamba magumu!

Km Cdm isipokufa mtajificha wapi?

Siasa za kucheza kila aina ya Rafu ndio zinazo Endelea!

CDM haiwezi kufa......!! itadumu ila unasahau kuwa NCCR na CUF zilikuwa maarufu sana kabla ya CDM...
 
Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Metahli ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....

Mti wenye matunda mazuri huwa unarushiwa mawe, mbona miti mingine mitupu hamhangaiki nayo?.Ni bora mambo ya Ngoswe mkamwachia mwenyewe, mpate nafasi yakutatua shida ya maji, umeme, gesi, elimu nk. Potezeni muda kupambana na watu ambao wapo stable badala ya kufanya mambo ya msingi!!!!!.
 
Unakilimbitwa wewe na wenzio wa Lumumba. unafikiri kuwa mbunge na mwanachama kwa hisani ya mahakama na Lumumba kutabadilisha msimamo wa viongozi, wananchama na wapenzi wa CDM?... cowards...

Hili ni tatizo kwa nini hatukubali ukweli jamani
 
Hivi mnakuwa vipifu kwann? mwenyekit wa cdm kumkatisha ziara mbunge wake ili akamlale dubai hamulion kama ni kosa? angelifanya zzk ingekuaje leo? fikirn kwa kna zmetumika kodi zetu kwa uzinzi wao

(Vipifu?)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom