afadhali umempa za uso na mauchawi yake
yawachawi wapelekee WANGA WENZIO bado hupo KARNE ya miugiza 2 pole
afadhali umempa za uso na mauchawi yake
wi shavu ameneke!!ziwa letu tunalo....... na uchawi tunao........oh oh!! Leka tutigite!!!
Mizambwaaa umekua adimu!!Hayo ndio mambo ya KIGOMA MWISHO WA RELI.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Hear say is not admissible.Jana nilisikia kwamba kuna mchawi mmoja huko kasulu.,mkoan kigoma ya kuwa kuna mchawi mmoja alienda makabulin alipofika akafanya yake mara ghafla maiti ikamganda...,ebu mtujuze.!
Mizambwaaa umekua adimu!!
Bora kwetu haya mambo hakuna, full raha.yaani kuna mikoa bado sana! na kufikia 2015 hata butiama paongezewe ulinzi! hawachelewi kumfukua baba wa taifa!