Mchawi akwama hapa Ilula Iringa

Ukiambiwa kitu kinachotumika kama filimbi ili ungo zisigongane utashangaa. Huko angani kuna barabara za kichawi, pamoja na panya roote, alipita njia ya panya akanaswa
 
Hilo ni igizo kama la yule mwizi aliyeshindwa kushusha kiroba cha mahindi mgongoni hadi pale aliyeibiwa alipoitwa kituoni kumtua kiroba cha wizi, halafu baadae akataja na za simu za mganga aliyempa tego la wezi, na hiyo kanuni ya kusema hutakaa uone ndiyo inatumika kutepeli watu hata makanisani..
 
Muacheni ndugu yangu kabla sijafanya yangu 😠😠
 
Inawezekana ndege waliingia kwenye engine ya ndege yake Ikabidi aishushe hapo kwa dharura...
 
kuna watu na ndevu zao watabisha,,na kwa ujinga zaidi watakwambia mbona teknolojia yao haitumiki waziwazi..!!unajua mafuta yanayotumika kuendeshea yana tokana na nini..omg..ndo mana ni siri yao..
 
umemchomolea betri mwenzio
 
Me nahitaji sana ako kachombo na zana zake za mashambulizi naweza pata wapi
Hii elimu mbona inaogopewa kupelekwa vyuoni?
Maana wangeboresha kausaufiri wakawa wanapanda hata wanne kama ndege ndogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…