Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,130
- 6,409
hapa nilipo zipo kila kona tangu unazama mlangoni mpaka kwenye kitu chako
Ndio ujipange...
hapa nilipo zipo kila kona tangu unazama mlangoni mpaka kwenye kitu chako
Uelewa wako ktk mambo ya kiroho na kazi za Yesu ni mdogo sana, damu ya Yesu si ktk kusafisha dhambi tu, bali ktk uponyaji na nguvu za kutoa mapepo na kuponya magonjwa ikiwa ni pamoja na kusafisha kila aina ya uovu.
Halafu utambue kuwa, Yesu hakuwahi kuwa mtume, mtume ni Mohammed S.A.W, Bible inamtaja Yesu kama mwana wa Mungu, sina haja ya kukutajia vifungu ktk Bible. katafute mwenyewe.
Unaweza kusema ',Wewe pepo nakuamuru kwa damu ya Yesu utoke, na pepo litatii amri na kutoka, lakini huwezi kulitoa pepo kwa damu ya Mohammed wala jina lake likaogopa, ni damu ya Yesu au jina lake tu kote duniani.
unavyokomaa eti ni story ya uongo wewe ulikuwepo? au nikiandika story nalipwa? jaribu kujitambua.
katakuwa ka giresiKachawi under 20 sipatii picha hizo Chuchu kudadadeki zake.
ndo wapi huko mpenzi ThipajuiNi Ku pm nini?
ndo wapi huko mpenzi Thipajui
au na wewe unataka kuniwangia
Ndio ujipange...
Hamna picha.....???
Mkuu,
Weye huwezi bishana na mtu yeyote chini ya jua kwa habari hii uliyo andika. Nachotamani kukufundisha hapa ni kuwa, Hata pepo la mafua tu halitoki kwa kuliamuru kuwa litoke kwa damu ya Yesu. Weye katika wapuuzi naona unaongoza. Weye katika waliopotoka pia unaongoza.
Sijui kama unaelewa hata maana ya Mtume. Sijui hata kama unamuelewa huyo Yesu ni nani. Acha kabisa kubishana usilo lijua. Tafuta maneno mengine lakini si juu ya hili. Yesu ni Mtume wa Mungu na atabaki kuwa hivyo. Kuwa Mtume hakujamwondolea nafasi yake kama Mwana wa Mungu aliye hai.
Sidhani kama kuna mtu mpumbavu na mjinga kama wewe, na bahati mbaya kwako ni kuwa hujawahi ktk maisha kuombea yako kuombea hata mgonjwa mmoja, na hata kumgusa na kutowesha mapepo kwa mtu aliye demon possessed,, na neno la Mungu halipo ndani yako, mtu mwenye neno la Mungu ndani yake hawezi kusema eti damu ya Yesu haitoi hata mafua tu, wewe ni hayawani mshika dini na siyo mtu anayejua neno neno la Mungu, nenda zako pepo wewe.
Tambua kwamba kuna giza,halafu yule mchawi alikuwa bado uchi hakuwa kapewa nguo,pia ili kupiga picha ilitakiwa lazima niwashe tochi ya simu,sasa ktk mazingira kama hayo isingewezekana mkuu ndo maana mtendaji aliposema msipige picha yupo uchi hata ya kuibia ilikuwa kazi ngumu pia.
Wana jamvi salaam! Alfajiri hii limetokea tukio la kusisimua ile mbaya kwa jirani yangu,alipata mgeni tangu wiki sasa akitokea Dar akaja hapa kahama kumtembelea ndugu yake (jirani yangu) .
Tangu amewasili huyo kijana nilikuwa nasikia mara nyingi akisali hasa nyakati za usiku wa manane maana sauti inapaa sana,kama kawaida ya wachawi wao kila wakiona mgeni lazima wamjaribu sasa leo wamekiona cha moto.
Tukiwa tumelala tukasikia kelele za kuomba msaada,kutoka nje nikamkuta jirani yangu yupo na mgeni wake pamoja na watu wengine wamemzunguka binti mdogo asiyezidi miaka 25,usoni na mwili mzima kajipaka dawa nyeusi na yupo uchi wa mnyama na ana usinga.
Mgeni wa jirani yangu anasimulia kabla hajalala aliomba na kuizungushia nyumba damu ya Yesu,(ktk ulimwengu wa roho)anadai akiwa amelala alishtuka anavutwa sikio na mtu asiyemuona akakemea kwa jina la Yesu ndipo akasikia kishindo cha mtu kuanguaka.
Binti huyo anadai katoka Bariadi na wenzake wamekimbia,nimezuiliwa kupiga picha maana mtendaji wa kijiji kaja hapa.
Ha ha ha..we ni jipu unatakiwa ubinywe au uhamishiwe ofsni kwa kigwangala.
Uongo Uliobobea Kama Si kutukuka Wewe CHENJEU. Kadanganye Wajomba Zako Huko Kijijini Kwenu.
wasukuma kwa maimani ya ajabu ajabu na fiksi hamuwezekani
Ha ha ha..we ni jipu unatakiwa ubinywe au uhamishiwe ofsni kwa kigwangala.