Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
piga picha hata huo mkusanyiko tuuone, nataka Nipate porojo ya kuanzia ofisini asubuhi hii
piga picha hata huo mkusanyiko tuuone, nataka Nipate porojo ya kuanzia ofisini asubuhi hii
hata bila picha, huo ndio uwezo na mamlala ya Yesu Kristo aliowaacha wanadamu wote watakaomwamini. mambo hayo yanawezekana kabsa kwa Mungu Na Kwake Aaminiye. Izo Ndizo Faida Za Wokovu.
Sasa Ni Wkt Wako Wewe Kijana, Na Binti Kuingia Ndani Ya Familia Ya Bwana Yesu, Ili Tukiwa Wengi Tuone Hao Wachawi Watakaa Wapi.
Kwa Ushauri, Maombezi Au Unataka Kuokoka. Piga Cm 0786100772, 0673100772, 0757856336.
piga picha hata huo mkusanyiko tuuone, nataka Nipate porojo ya kuanzia ofisini asubuhi hii
Wana jamvi salaam! Alfajiri hii limetokea tukio la kusisimua ile mbaya kwa jirani yangu,alipata mgeni tangu wiki sasa akitokea Dar akaja hapa kahama kumtembelea ndugu yake (jirani yangu) Tangu amewasili huyo kijana nilikuwa nasikia mara nyingi akisali hasa nyakati za usiku wa manane maana sauti inapaa sana,kama kawaida ya wachawi wao kila wakiona mgeni lazima wamjaribu sasa leo wamekiona cha moto,Tukiwa tumelala tukasikia kelele za kuomba msaada,kutoka nje nikamkuta jirani yangu yupo na mgeni wake pamoja na watu wengine wamemzunguka binti mdogo asiyezidi miaka 25,usoni na mwili mzima kajipaka dawa nyeusi na yupo uchi wa mnyama na ana usinga,mgeni wa jirani yangu anasimulia kabla hajalala aliomba na kuizungushia nyumba damu ya Yesu,(ktk ulimwengu wa roho)anadai akiwa amelala alishtuka anavutwa sikio na mtu asiyemuona akakemea kwa jina la Yesu ndipo akasikia kishindo cha mtu kuanguaka,binti huyo anadai katoka Bariadi na wenzake wamekimbia,nimezuiliwa kupiga picha maana mtendaji wa kijiji kaja hapa.
Force kingi mkuu tupe picha. Mtendaji atawezaje kukuzuia kamanda??
Kudadeki Mkuu Ciprofloxacin Hadithi ya kutunga hii hatuwezi kuiaminimpaka upige pichatupate kuzionaWana jamvi salaam! Alfajiri hii limetokea tukio la kusisimua ile mbaya kwa jirani yangu,alipata mgeni tangu wiki sasa akitokea Dar akaja hapa kahama kumtembelea ndugu yake (jirani yangu) Tangu amewasili huyo kijana nilikuwa nasikia mara nyingi akisali hasa nyakati za usiku wa manane maana sauti inapaa sana,kama kawaida ya wachawi wao kila wakiona mgeni lazima wamjaribu sasa leo wamekiona cha moto,Tukiwa tumelala tukasikia kelele za kuomba msaada,kutoka nje nikamkuta jirani yangu yupo na mgeni wake pamoja na watu wengine wamemzunguka binti mdogo asiyezidi miaka 25,usoni na mwili mzima kajipaka dawa nyeusi na yupo uchi wa mnyama na ana usinga,mgeni wa jirani yangu anasimulia kabla hajalala aliomba na kuizungushia nyumba damu ya Yesu,(ktk ulimwengu wa roho)anadai akiwa amelala alishtuka anavutwa sikio na mtu asiyemuona akakemea kwa jina la Yesu ndipo akasikia kishindo cha mtu kuanguaka,binti huyo anadai katoka Bariadi na wenzake wamekimbia,nimezuiliwa kupiga picha maana mtendaji wa kijiji kaja hapa.
piga picha hata huo mkusanyiko tuuone, nataka Nipate porojo ya kuanzia ofisini asubuhi hii
Mkuu habari za asubuhi, kiukweli habari kama hii bila ushahidi wa picha haijakamilika bado.
Jitahidi upate japo tupicha tuwili tutatu hivi itakuwa powa sana.
Fiksi hizi, mlokole nae amepikwa...
piga picha hata huo mkusanyiko tuuone, nataka Nipate porojo ya kuanzia ofisini asubuhi hii