Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,339
- 3,913
kumezuka tabia ya kusemana katika kipindi cha MCHARUKO kinachorushwa hewani na tbc fm. Watu hususan wanawake wanakitumia kupakaziana mpaka wengine kufikishana mahakamani, na kipindi kila kukicha kinazidisha makali. Kinakoelekea kinapoteza sifa ya kubeba bendera ya tbc...au ndo role ya kurekebisha tabia hiyo?