Mcharuko radio ya taifa

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,335
3,903
kumezuka tabia ya kusemana katika kipindi cha MCHARUKO kinachorushwa hewani na tbc fm. Watu hususan wanawake wanakitumia kupakaziana mpaka wengine kufikishana mahakamani, na kipindi kila kukicha kinazidisha makali. Kinakoelekea kinapoteza sifa ya kubeba bendera ya tbc...au ndo role ya kurekebisha tabia hiyo?
 
hivi neno hili MCHARUKO maana yake nini wajameni????
 
mpwaaz,
micharuko ipo uswaaz!
we unajua kupenda KI-MCHARUKO?
btw:hujasafiri mpwaaz
HAHAHAAAA, KUMBEEE, LOH.
nasikiaga mitaani 'aah, yule demu MCHARUKO kinoma', loh kumbe ndio maanake.
asee hivi sikuijibu ile textmsg yako?, basi itakua pending.
nipo mkuu mambo yaliingiliana kikazi nikatoswa ruhusa!.
 
Hiyo ndo maana ikaitwa TBC FM, si kuna TBC taifa, kama hupendi kusikiliza mcharuko wa kina Rehema na mwenzie simply unaenda sehemu nyingine

nadhani kila kipindi kina intended audience, so naona hapo hapakufai mkuu
 
Nakuunga mkono Kaiser kwa maoni yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom