JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,816
Mnyonge anachangia Tsh ngapi kwenye fedha za Taifa ambayo huwa anatetewa nayo sana na wale wanaojiita wazalendo ambao mwenye fedha kwao ni fisadi?
Ukiachana na misaada:
Kodi imekuwa ikilipwa na wenye fedha sio wanyonge
Bandari zilijengwa na wenye fedha kupitia kodi zao sio wanyonge
Mbuga za wanyama mpaka unazikuta ni kodi za wenye fedha ndio waliozitunza wanyonge kwanza wangekimbiza wanyama wote.
Wakulima wazuri si wanyonge maana huwa na mamilioni ya fedha baada ya kuvuna.
Hawa wanyonge wanachosha. TOZO ziendelee ili wote tuijenge nchi na mnyonge akilalamika alalamike kwa uhalali.
Mtu huna mchango wa ziada kwa nchi yako ila kutwa kelele za kuita watu fisadi kutusumbua tu na hasira zako kwa wenye fedha. Yako iliyofisadiwa ni tsh ngapi?