Mchango wa RA bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchango wa RA bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by makandokando, Feb 10, 2011.

 1. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wadau,
  katika bunge lililopita RA alikuwa ndio mbunge anayeongoza kwa kutosema chochote bungeni.

  Sijui kwenye hili bunge letu "tukufu" la kumi atasema lolote? Mkuu Rostam, kama unasoma hii, sema kitu basi....hata salama kwa Spika kutoka kwa wapigakura wako.
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ana interest zake!!!
   
 3. Dyslexia

  Dyslexia Senior Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulitaka achangie nini?ana hela za kutimiza matakwa ya wananchi wake akiamua,yuko busy sana pia,mambo mengine yanamhusu haoni sababu ya kuyajadili kwa kuwa hawatamuamini!muache!
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  kwanza hili bunge halina utukufu wowote na pili huyu muarabu kwa sasa kashikwa pabaya kwani deal lake la dowans limeingia mchanga hivyo sijui kama kuna kitu anaweza sema.....
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Anaongoza kwa kujamba na kubeua..ukikaa sana kimya hewa haina pa kutokea mwilini
   
 6. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aongee nini wakati kinywa chake kimejaa ufisadi mtupu
   
 7. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Aiseee!
   
 8. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndio maana nimeweka quotes "" hapo kwenye neno tukufu.
   
 9. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kaaazi kweli kweli
   
 10. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hivi mbona post zako hazifanani na sura yako? unafikiri pesa ni kila kitu? ana pesa lakini za wizi na sidhani kama ana amani nazo, I dont think kama pesa zake zinamsaidia chochote.
   
 11. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe unafikiri kazi ya mbunge ni nini hasa. Kama anapesa za kutimiza matakwa ya wananchi wake si angeiambia serikali isipeleke pesa jimboni kwake. Walau uwe unatumia kichwa katika michango yako basi!!
   
 12. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hii ni dharau kuwa wanyoongea ni ya kijinga naye ni mjanaja. Hivi inawezekanaje mbunge aruhusiwe kukaa kimya wakati wote? Kanuni zinaomba muongozo wa mama
   
 13. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wewe ni mmoja wa vibaraka na mlamba miguu ya rostam
   
 14. m

  mams JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Naona kama kipindi hiki cha lalasalama ya kikwete hali itakuwa ngumu haijapata kutokea. Kwa kuanza tuu sukari toka 1500 -2000 nondo mm 12 nimenunua 11000 kabla ya uchaguzi sasa hivi 18000 nk. Nadhani lile kundi la chini kwa hizo bei litazinduka na watakuwa makini ktk uchaguzi ujao
   
 15. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,192
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa Malawi ni noma
  Wangemmalawi mwana!
   
 16. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,741
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Siku ya siku inakuja ataongea tu kuwaambia watanzania pesa yao amepeleka wapi wakati huo debe za machozi na kamasi zimejaaa. Ataongea tu kwani yeye nani. Siku za mwizi ni arobaini na arobaini yake ni sasa hahahhah utajijua mwarabu wa pemba
   
 17. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwa kuwa anakula dengu kwa sana, akishuta lazima utafute njia ya kutokea, inakuwa kama silaha za sumu!
   
Loading...