Halafu kizuri zaidi na risiti amepewa, labda hoja hapo angesema apewe risiti ya EFD.Inashkitisha sana aisee!
Me nkajua ni Tsh.30,000, au Tsh.50,000. Kumbe ni "efu tano tu, ya kitanzania"!!
Hebu acha wivu usio na maana bwana.
Asililie hiyo afutano. Isitoshe ni ×1 kwa mwaka. Ni kahela kaduchu sana hako.Kwahyo solution yko ni ipi/nn
Vp mwakan akiambiwa atoe elfu kumi na tano maana unaambiwa mwanzon walikuwa wakitoa elfutatu.Asililie hiyo afutano. Isitoshe ni ×1 kwa mwaka. Ni kahela kaduchu sana hako.
Mi nilitoaga buku tu ana mahaba huyo!Inashkitisha sana aisee!
Me nkajua ni Tsh.30,000, au Tsh.50,000. Kumbe ni "efu tano tu, ya kitanzania"!!
Hebu acha wivu usio na maana bwana.
Log outÑataka kupost hivi anonymously nafanyaje?
Halaf naenda wapLog out
Halafu unapost anonymously!Halaf naenda wap
Hivi kumbe na wewe ni dotkari, ooh! Sorry, kumbe na wewe ni doktari.Mi nilitoaga buku tu ana mahaba huyo!
Hata ingekuwa sh 100 ila siyo ichukuliwe kizembe.Acha upuuzi wew leo utaambiwa elfu tano mwakan utaambiwa elfu kumi na tano Kwasababu ya ujinga wa kutokuhoji mambo kwa undani, hawa watumishi wanakatwa mishahara yao inamaana hayo makato bado hayatoshi kuendeshea hzo shughuli zao.
Siku mwenge ukifika kanywe bia nne ufidie mchango wako/bia Tsh.1250×4=5000 kwa bei bila tozo).Ukitaka kula,kubali uliwe kidogo.sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.
Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza tumejibiwa ni maelekozo kutoka kwa Mganga mfawidhi na kama hautaki kukatwa basi uache kazi.
Tunaonekana kama ni wapinga kristo kwenye mamlaka hali hii huwa ni kila mwaka inapofika kipindi cha mwenge. Mwaka jana ilikuwa 3,000/=, mwaka huu ni 5,000/=.
Soma Pia: Mtendaji wa kata kunichangisha mchango wa mwenge kwa lazima imekaaje hii?
Inatuumiza sana, naomba mtusaidie kupaza sauti kwa mamlaka zinazohusika
View attachment 3585505
Serikali haina bajeti ya mbio za mwenge?Inashkitisha sana aisee!
Me nkajua ni Tsh.30,000, au Tsh.50,000. Kumbe ni "efu tano tu, ya kitanzania"!!
Hebu acha wivu usio na maana bwana.