A
Inashkitisha sana aisee!sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.
Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza tumejibiwa ni maelekozo kutoka kwa Mganga mfawidhi na kama hautaki kukatwa basi uache kazi.
Tunaonekana kama ni wapinga kristo kwenye mamlaka hali hii huwa ni kila mwaka inapofika kipindi cha mwenge. Mwaka jana ilikuwa 3,000/=, mwaka huu ni 5,000/=.
Inatuumiza sana, naomba mtusaidie kupaza sauti kwa mamlaka zinazohusika
View attachment 3585505
Mwenge ndio uliomlea babu yako, baba yako, wewe mwenyewe na utawalea pia watoto wako kama unao, sasa unaona asara gani kutoa 5,000/= wakati unakuangazia Taifa?sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.
Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza tumejibiwa ni maelekozo kutoka kwa Mganga mfawidhi na kama hautaki kukatwa basi uache kazi.
Tunaonekana kama ni wapinga kristo kwenye mamlaka hali hii huwa ni kila mwaka inapofika kipindi cha mwenge. Mwaka jana ilikuwa 3,000/=, mwaka huu ni 5,000/=.
Inatuumiza sana, naomba mtusaidie kupaza sauti kwa mamlaka zinazohusika
View attachment 3585505
Ona gimbi lingine hili, wew mwezetu mwenge umekuleaje labda, hebu nipe faida 4 za huo mwenge kwako wew na taifa kwa ujumla.Mwenge ndio uliomlea babu yako, baba yako, wewe mwenyewe na utawalea pia watoto wako kama unao, sasa unaona asara gani kutoa 5,000/= wakati unakuangazia Taifa?
Acha upuuzi wew leo utaambiwa elfu tano mwakan utaambiwa elfu kumi na tano Kwasababu ya ujinga wa kutokuhoji mambo kwa undani, hawa watumishi wanakatwa mishahara yao inamaana hayo makato bado hayatoshi kuendeshea hzo shughuli zao.Inashkitisha sana aisee!
Me nkajua ni Tsh.30,000, au Tsh.50,000. Kumbe ni "efu tano tu, ya kitanzania"!!
Hebu acha wivu usio na maana bwana.
Utake utachangia Utaki utachangia, muulize Babu na baba yako watakwambia namna Mwenge ulivyowalea.Ona gimbi lingine hili, wew mwezetu mwenge umekuleaje labda, hebu nipe faida 4 za huo mwenge kwako wew na taifa kwa ujumla.
Hii nchi sijui nani alituroga
sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.
Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza tumejibiwa ni maelekozo kutoka kwa Mganga mfawidhi na kama hautaki kukatwa basi uache kazi.
Tunaonekana kama ni wapinga kristo kwenye mamlaka hali hii huwa ni kila mwaka inapofika kipindi cha mwenge. Mwaka jana ilikuwa 3,000/=, mwaka huu ni 5,000/=.
Inatuumiza sana, naomba mtusaidie kupaza sauti kwa mamlaka zinazohusika
View attachment 3585505
Nimekwambia nipe faida hata mbili tu za huo mwenge kwako wew au kwa taifa.Utake utachangia Utaki utachangia, muulize Babu na baba yako watakwambia namna Mwenge ulivyowalea.
Hajalalamika kuhusu kutoa hela,Acha upuuzi wew leo utaambiwa elfu tano mwakan utaambiwa elfu kumi na tano Kwasababu ya ujinga wa kutokuhoji mambo kwa undani, hawa watumishi wanakatwa mishahara yao inamaana hayo makato bado hayatoshi kuendeshea hzo shughuli zao.
Changia shughuli za kukuza uzalendo wewe mtumishi.sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.
Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza tumejibiwa ni maelekozo kutoka kwa Mganga mfawidhi na kama hautaki kukatwa basi uache kazi.
Tunaonekana kama ni wapinga kristo kwenye mamlaka hali hii huwa ni kila mwaka inapofika kipindi cha mwenge. Mwaka jana ilikuwa 3,000/=, mwaka huu ni 5,000/=.
Inatuumiza sana, naomba mtusaidie kupaza sauti kwa mamlaka zinazohusika
View attachment 3585505
Kwahyo solution yko ni ipi/nnHajalalamika kuhusu kutoa hela,
Kalalamika kisa hela aliyokatwa ni kubwa mno(5000)
Afu mbona kama ni wewe uliyelalamika.