We na wewe ni mmbea mbona hutaji na wale wabunge 7 walio mbioni kuvaa gamba.
CCM ina wenyewe, na watu wenye ndimi mbili huku hatuwataki. Tuna uhakika gani wakija huku hawatarubuniwa na kutuharibia chama? CCM ina maadili asikwambie mtu, ndimi mbili NO!Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.
Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua Dr Slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.
Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.
Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua Dr Slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.
Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.
Wawkeni benchi kwanza. Wapige mark time.CCM ina wenyewe, na watu wenye ndimi mbili huku hatuwataki. Tuna uhakika gani wakija huku hawatarubuniwa na kutuharibia chama? CCM ina maadili asikwambie mtu, ndimi mbili NO!
Queen Esther
Mkuu Mingoi,
- Kuhusu wabunge saba hiyo ni propaganda ya Mwigulu ,Hakuna kitu kama hicho.Sana sana anaweza kuwa ni mbunge mmoja tu ambae ni Shibuda.CCM wanahangaika sana na CDM na kujisahau kuwa adui wao sio CDM ila ni hali duni ya maisha ya watanzania ( Laiti kama wangeweza kuwasaidia watanzania katika hilo CHADEMA wasingekuwa na cha kusema)
- Hata hivyo naona hakuna haja ya kuwajadili sana hawa vijana ambao hawastahili hata kujadiliwa katika mambo ya ujenzi wa nchi yetu zaidi ya ubomoaji (Hakuna hata mmoja kati yao nimewahi kumuona au kumsikia katika ujenzi wa chama zaidi ya kubomoa). Hivyo ni dhahiri wakienda CCM wataendelea kutumia mbinu zao za medani kuibomoa CCM, sijui kama CCM wameliona hili maana mbali na Kingunge, maafisa propaganda wa CCM wameshiriki kuibomoa CCM cheki kama Tambwe Hiza sijui ameisaidiaje CCM, Nape Nnauye naye "single yake ya Magamba na Mafisadi" imeiacha CCM mbende mbende...! Nafurahi Shonza na Mchange na Mwampamba waende CCM ili ngoma inoge
- Tukiweka swala la ushabiki pembeni hawa vijana ni watovu wa nidhamu kwa namna yoyote ile.Hata huko kwenu CCM wasingevumiliwa.(Tusubiri tuone CCM itakavyowalea_
- Ignoring someone pia ni busara.Perfect
​Nimekwisha poa Mkuu na sasa niko hewani!Pole mkuu hapa inabidi uwe na subira kidogo!
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga CHADEMA makada wawili wa chama hicho Habibu Mchange na Juliana Shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa CHADEMA wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM Lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.Aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya UVCCM na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.
Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA (jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.Lengo kuu la safari hizi ni kumchafua Dr. Slaa kwa kumshambulia binafs (personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.
Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,Lumumba.