Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Mpe pole ifweero sio mimi.
Naona mchange kamwaga udongo wa mwisho kwenye kaburi la chadema.
Kama kweli hamkuhusika kwenye swala la chacha wangwe nendeni mahakamani maana Mchange kwatuhumu wazi wazi tena kawataja majina mbele ya waandishi.
 
Last edited by a moderator:
CDM ndo waasisi wa hizi siasa chafu na ndo zitawamaliza.
Chadema kilianzishwa kwenye misingi ya kilghai so haya yote ni matokeo ya misingi yao.
wapo watu wengi walioumizwa CDM na walikua wanachama watiifu CDM.
Haiwezekani kabisa Slaa akatae hapa JF kua CDM haikuwahi kua na ukomo wa Mwenyeki na ni Mtendaji mkuu wa CDM.
Inasikitisha sana kwa mtu aina yako kuandika upuuzi huu hapa jukwaani.
 
Eti yeye Mchange bado ni Chadema ....kwikwii kwiiiii......
Mlianza wenyewe siasa hizi Lissu alijaribu kwa ZZK akalipuliwa Mbowe mkafyata mkia
Lissu kahamia kwa Mchange juzi leo mmelipuliwa.wewe msukule huna unachokijua zaidi ya kutumika.
Tatizo CDM mnasahau kwamba hawa watu mlishirikiana nao kutesa watanzania.
 
Naona mchange kamwaga udongo wa mwisho kwenye kaburi la chadema.
Kama kweli hamkuhusika kwenye swala la chacha wangwe nendeni mahakamani maana Mchange kwatuhumu wazi wazi tena kawataja majina mbele ya waandishi.
Mtikila alisema maneno hayo hayo mwaka 2008 ....tena kwenye mkutano wa hadhara , na vitabu viliandikwa sembuse huyo leo anakuja kusimulia simulizi za Mtikila za wakati ule ???????ajibu yeye alihusika vipi na Ugaidi ? Polisi wameanza kuwahoji wale madiwani huyu anaibuka akifikiri itasaidia ...
 
Naona mchange kamwaga udongo wa mwisho kwenye kaburi la chadema.
Kama kweli hamkuhusika kwenye swala la chacha wangwe nendeni mahakamani maana Mchange kwatuhumu wazi wazi tena kawataja majina mbele ya waandishi.
Hana hoja amehororoja tu swala la Wangwe Mahakama ilikwisha toa hukumu kwa hyo huyu njaa kali Mchange ni wakupuuzwa tu.

Asubiri kuhojiwa na vyombo vya dola kuhusiana na uhusikawake katika njama za kuwadhuru viongozi wa CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Mlianza wenyewe siasa hizi Lissu alijaribu kwa ZZK akalipuliwa Mbowe mkafyata mkia
Lissu kahamia kwa Mchange juzi leo mmelipuliwa.wewe msukule huna unachokijua zaidi ya kutumika.
Tatizo CDM mnasahau kwamba hawa watu mlishirikiana nao kutesa watanzania.
Vipi Sakata la Escrow Mkuu au ulishapoozwa ? Werema kaacha kukuua?
 
HABIBU MCHANGE AKANA TUHUMA ZA KUHUSIKA NA ULIPUAJI WA HELKOPTA ILIYOWABEBA MNYIKA NA SLAA.

Leo mchana katika mkutano wake na waandishi wa habari,Mchange amewashambulia waziwazi viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo na kuwatuhumu kuhiska na mauaji ya aliyekua mbunge wa CHADEMA Tarime,marehemu Chacha Wangwe,kisha kumkana mtu aliyehusika na mauaji hayo Deus Mallya,wakati alikuwa mjumbe katika kamati iliyokuwa chini ya John Mnyika,na rafiki wa Mnyika lakini Mnyika kumkana hajawai hata kumuona.

Kisha kawataja Lissu,Mbowe na Slaa kuajiri vijana na kuwalipa kuwatesa vijana wanaoonyesha kuiunga mkono CCM katika kampeni mbalimbali za chama,hasa kwa kumwagia watu tindikali.

Pia amesema Lissu ni mbinafsi na fisadi aliyedhurumu fedha za miradi ya mazingira,na kujenga nyumba ya ghorofa Tegeta,Mbowe anahujumu mamilioni ya CHADEMA,na Slaa akihujumu fedha za chama kulipia mkopo wa NSSF.
===================================

Mchange bwana .Mbona hajibu hoja za wale jamaa 2 ? Mbona it is obvious na issues zake za uchumia tumbo jamani anapinga nini ?Kwani harakati anafanyia kwake si mtaani na huko kuna watu ?
 
Mlianza wenyewe siasa hizi Lissu alijaribu kwa ZZK akalipuliwa Mbowe mkafyata mkia
Lissu kahamia kwa Mchange juzi leo mmelipuliwa.wewe msukule huna unachokijua zaidi ya kutumika.
Tatizo CDM mnasahau kwamba hawa watu mlishirikiana nao kutesa watanzania.
Wewe Tumbili ni vyema ukaendelea kuwatumikia wananchi waliokuchagua.
 
Last edited by a moderator:
Mlianza wenyewe siasa hizi Lissu alijaribu kwa ZZK akalipuliwa Mbowe mkafyata mkia
Lissu kahamia kwa Mchange juzi leo mmelipuliwa.wewe msukule huna unachokijua zaidi ya kutumika.
Tatizo CDM mnasahau kwamba hawa watu mlishirikiana nao kutesa watanzania.
Hivi unajua kuwa aliyepeleka nyaraka za ufisadi wa Zitto pale NSSF ....ni huyu huyu Mchange? Pia ndio alimpelekea ushahidi wa PAP kumuona Zitto kupitia kwa wakili wake na Mchange ndio akiwa rekodi ....ni taarifa tu....
 
Vipi Sakata la Escrow Mkuu au ulishapoozwa ? Werema kaacha kukuua?
Endeleeni kukimbizana na vivuli si ndo zenu.Wewe ni msukule tu huna Jipya na wala huwezi jua Misingi ya CDM ni ipi?
Mtendaji Mkuu hajui katiba ya CDM sembuse wewe Msukule
 
Haya ni matunda ya siasa zenu za character assassination.
Eti una hasira kuwa suala la Escrow hali kuchukuliwa uzito ili kukupaisha kisiasa ? Eti ulifanywa lobbying umpatie Helkoptauruke nchi nzima ?
 
Hivi unajua kuwa aliyepeleka nyaraka za ufisadi wa Zitto pale NSSF ....ni huyu huyu Mchange? Pia ndio alimpelekea ushahidi wa PAP kumuona Zitto kupitia kwa wakili wake na Mchange ndio akiwa rekodi ....ni taarifa tu....
Huyu ni wakukariri tu atapata uwezo wakutambua hayo?
 
Endeleeni kukimbizana na vivuli si ndo zenu.Wewe ni msukule tu huna Jipya na wala huwezi jua Misingi ya CDM ni ipi?
Mtendaji Mkuu hajui katiba ya CDM sembuse wewe Msukule
Vipi mbona hujibu maswali yangu kuhusu Escrow na Sakata la kutaka kuuwawa?
 
Habibu Mchange ni Interahamwe; tusimpe sifa kwa kumjadili
 
Back
Top Bottom