Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Eti una hasira kuwa suala la Escrow hali kuchukuliwa uzito ili kukupaisha kisiasa ? Eti ulifanywa lobbying umpatie Helkoptauruke nchi nzima ?
Sikushanga mlipompigia magoti kwenye wabunge kivuli mtu mliyokua mnamwita Sisimizi au amekua tembo siku hizo?
Inafahamika mlivyo wabinafsi mkaona mkimsupport ZZK kwenye mabilioni faida ingekua ya ZZK na sio CDM.Kafulila akaleta hoja mkaona noma mkatoa kapress ka kitoto kwasabu hamko kwa maslai ya watanzania mnchokiangalia ni political existence tu.
 
Endeleeni kukimbizana na vivuli si ndo zenu.Wewe ni msukule tu huna Jipya na wala huwezi jua Misingi ya CDM ni ipi?
Mtendaji Mkuu hajui katiba ya CDM sembuse wewe Msukule
So wewe ni kivuli cha Zitto, Mchange ama ACT ?
 
Sikushanga mlipompigia magoti kwenye wabunge kivuli mtu mliyokua mnamwita Sisimizi au amekua tembo siku hizo?
Inafahamika mlivyo wabinafsi mkaona mkimsupport ZZK kwenye mabilioni faida ingekua ya ZZK na sio CDM.Kafulila akaleta hoja mkaona noma mkatoa kapress ka kitoto kwasabu hamko kwa maslai ya watanzania mnchokiangalia ni political existence tu.
Zitto , mabilioni alikuwa hana ushahidi wala nyaraka alikuwa akikimbizana na upepo ndio maana alipo yakiwa kutoa ushahidi kapotea , na bado ile taasisi ya kimataifa iliyompatia fedha za kukusanya ushahidi inataka ripoti ya fedha ameshindwa kuitoa , ataumbuka soon ......
 
Mbona wewe ulimkana Maswi juu ya PAP mpaka aka kulipua ?
Pengine nakuonea wewe ni msukule tu huna unachojua ndani ya CDM.
Ila ukiwaona hao wanakupa buku mbili mbili waulize ilikuaje Mnyika akamkana Malya? Ilikuaje katibu mkuu hajui katiba ya CDM na pia vipi ile kesi walisema wanamfungulia Nape kuhusu pesa za Ugeruman? Ilikuaje Mbowe kupokea Mamilioni toka kwa Mkono Na mwisho vipi Tanzania Daima ni la Chama? Pesa za uanzishaji wa hilo gazeti zilitoka wapi?
 
Sikushanga mlipompigia magoti kwenye wabunge kivuli mtu mliyokua mnamwita Sisimizi au amekua tembo siku hizo?
Inafahamika mlivyo wabinafsi mkaona mkimsupport ZZK kwenye mabilioni faida ingekua ya ZZK na sio CDM.Kafulila akaleta hoja mkaona noma mkatoa kapress ka kitoto kwasabu hamko kwa maslai ya watanzania mnchokiangalia ni political existence tu.
Ulitaka uungwe mkono ili iweje? Si ungewaacha kwenye Mataa baada ya viji senti kama ilivyo leo hata huongei juu ya Escrow? Umeambiwa. Kaa kimya maana kuna video ya Sea Cliff hoteli itamuumbua Zito na yule mwanasheria wake wakiwa nacsingasinga wa PAP ? ,,,,, ungeungwa mkono si ungesgasepa then aibu ingekuwa ya wote ?
 
Habibu Mchange ni Interahamwe; tusimpe sifa kwa kumjadili
Mkuu kwa comment hii umesha mjadili! Unaonaje ufisadi wa kamannda Tundu Lissu na kulazimisha Dada yake kupewa ubunge?!
 
Last edited by a moderator:
huyu dogo anachukulia siasa ni kama kushabikia mpira. Nchi ikichafuka haponi
 
Pengine nakuonea wewe ni msukule tu huna unachojua ndani ya CDM.
Ila ukiwaona hao wanakupa buku mbili mbili waulize ilikuaje Mnyika akamkana Malya? Ilikuaje katibu mkuu hajui katiba ya CDM na pia vipi ile kesi walisema wanamfungulia Nape kuhusu pesa za Ugeruman? Ilikuaje Mbowe kupokea Mamilioni toka kwa Mkono Na mwisho vipi Tanzania Daima ni la Chama? Pesa za uanzishaji wa hilo gazeti zilitoka wapi?
Sasa mbona upo nje ya mada ? Zitto alikudanganya kuwa Tanzania Daima ni la chadema? Maana ni kawaida ya Zitto kuwalisha upepo eti yeye ndio Chadema , akiguswa tu inameguka sasa anashuhudia jinsi inavyosonga mbele kwa kasi ya ajabu..........so najua unaalishwa upepo nawe unaumeza tuu.......
 
Zitto , mabilioni alikuwa hana ushahidi wala nyaraka alikuwa akikimbizana na upepo ndio maana alipo yakiwa kutoa ushahidi kapotea , na bado ile taasisi ya kimataifa iliyompatia fedha za kukusanya ushahidi inataka ripoti ya fedha ameshindwa kuitoa , ataumbuka soon ......
Ndo maana mkaungana na Werema? Hamko kutetea maslai ya watanzania Slaa yule aliyekua anawapigania Watanzania si huyu anayekipagania chama kuangali kitu gani kitakua na Maslai ya Chama tu.
 
Pengine nakuonea wewe ni msukule tu huna unachojua ndani ya CDM.
Ila ukiwaona hao wanakupa buku mbili mbili waulize ilikuaje Mnyika akamkana Malya? Ilikuaje katibu mkuu hajui katiba ya CDM na pia vipi ile kesi walisema wanamfungulia Nape kuhusu pesa za Ugeruman? Ilikuaje Mbowe kupokea Mamilioni toka kwa Mkono Na mwisho vipi Tanzania Daima ni la Chama? Pesa za uanzishaji wa hilo gazeti zilitoka wapi?
R:I😛 Chacha Wangwe!
 
Kama ni kweli viongozi wa chadema walihusika haya matendo maovu, je serikali inayoongozwa na ccm imefanya jitihada gani wahusika wajukuliwe hatua za kisheria? Mchange aisadie polisi kwa tuhuma hizi kwa maana ni shahidi namba moja.
 
Hivi unajua kuwa aliyepeleka nyaraka za ufisadi wa Zitto pale NSSF ....ni huyu huyu Mchange? Pia ndio alimpelekea ushahidi wa PAP kumuona Zitto kupitia kwa wakili wake na Mchange ndio akiwa rekodi ....ni taarifa tu....

Sipo hapa kumtetea mtu Chadema ndo waasisi wa hizi siasa za kipuuzi.
 
nmeprint nasubir muda ni bandike ,kumbe hawa jamaa wauaji,nasubir mbowe aende mahakamani au aspoenda ndo ukwel,ambao atakua amependa jamii iamini.
 
Ndo maana mkaungana na Werema? Hamko kutetea maslai ya watanzania Slaa yule aliyekua anawapigania Watanzania si huyu anayekipagania chama kuangali kitu gani kitakua na Maslai ya Chama tu.
Si unatetea wewe? Maana umeponzwa na Swahiba wako Zitto na hasa baada ya Mchange ku rekodi pale sea cliff hoteli akiwa na Singasinga wa PAP na mwanasheria wake waki vuta mpunga wa Escrow .........leo uko kimya maana umeambiwa utapoozwa sio ?
 
Back
Top Bottom