Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,232
Napita ntarudi baadae nawasubirimakamanda waje
hivi slaa anayepora wake za watu au mnyika ambaye ni mhuni tu wa mitaani, walipuliwe kwa lipi hasa
Wewe ni kibaraka na mchumia tumbo
mchangaaaaaaaaa!!! Naona unatumika kama mpira wa kondom, vp kuhusu jimbo la kibaha mjini ulivyouza, tanapa na leka lutugite?
Mchange mchange...!!mbona ww ulihongwa na Mbunge wa Kibaha ili ukubali matokeo..ukaenda kujenga nyumba pale kwenu Uyaoni..Kibaha..!!😀😀😕
mchangaaaaaaaaa!!! naona unatumika kama mpira wa kondom, vp kuhusu jimbo la kibaha mjini ulivyouza, tanapa na leka lutugite?
kwani hili suala la chacha wangwe ni uongo mbona kweli kabisa au unapingana na ukweli?
uzuri wa mchange husema ukweli ambao hauna hata chenga suala la chacha wangwe chadema hawakwepi.
Kumbe CCM kuchelewa koote kujibu tuhuma za kulipua helkopta walikuwa wanatunga huu upuuzi na kutafuta wa kumtumia?