Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Pasco inakuaje mtu kama wewe unaungana na hawa political failures with cheap politics in this stiff political competition? Au these guys are your type?
Mtu ambaye mpaka sasa anafanya kazi ya ccm ni kijana asiyeaminika maana ccm haina maana yeyote sasa zaidi ya kukaba kila ambacho kinaweza msaidia mtanzania.
Mkuu,
Pasco yupo sahihi, lazima aungane na makada wenzake wa ccm kupitia act. Usisahau kuwa act ni ccm, hata mwenyekiti wake Zitto Kabwe anamuunga mkono Lowassa na ndoto zake
Last edited by a moderator: