Mchakato wa Kufungua Kesi High court kupinga Kuvuliwa Ubunge baada ya kupoteza Uanachama!

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Wananchi wa Jimbo la Kigoma kusini wanafungua kesi ya kikatiba saa 5 na nusu leo asubuhi katika mahakama kuu ya Tanzania kupinga Mbunge wao kuondolewa kwenye wadhifa huo kama msimamo wa NCCR-Mageuzi wa kumvua uanachama utaendelea. kwa habari zaidi mtaoweza fika Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam mwaweza kujipatia mengi zaidi.
 
kama hatua hii inakubalika kwa katiba ya sasa, ni move nzuri in the right direction
 
Mawakali Wa Mpoki Advocate wamekamilisha maandalizi ya Kufungua Kesi ya Kikatiba ,ambayo inapinga Mbunge Kupoteza nafasi ya Ubunge baada ya Chama chake Kumuvua Uanachama.!!!!!!!!!!

Muda wowote tangia sasa kesi hiyo inaweza Kufunguliwa Mahakama kuu!!!!!!!!!
Source: Mtu anayeshughulikia Mchakato huo (0763 797075).
 
Bora maana hili la mtu amechaguliwa na maelfu ya watu kuwa mwakilishi wao anajuka kupoteza ubunge kwa maamuzi ya kikundi cha watu Hamsini au kwa kuwa ametofautiana na Mwenyekiti au katibu wa chama haya yaishe
 
Kwaajili kuna manufaa kwa mafisadi wa demokrasia kwenye jambo hili nina imani hiyo kesi itakamilika baada ya 2015 na tayari tutakuwa na katiba mpya..
 
Hii inaweza kuongeza demokrasia ndani ya vyama vya upinzani
Tunadai tume huru ya Taifa na mazingara sawa ya kufanya kampeni lakini nyingi za vyama vya siasa hazileti uhuru wa kutoa mawazo!!

Tume nyingi ndani ya vyama vya siasa zinalinda Wakubwa na waanzilishi wa vyama hivyo!!!
Hakuna tume huru ndani ya vyma vysiasa hivyo ni bora kabla ya mchakato wa katiba mpya kila chama cha siasa wadau wake wafanye mchakato wa kubadili katiba zao ili kuepuka machafuko 2015 ambapo watu wengi wamekuwa wadadisi na wanahoji mambo ya msingi!!!
CHADEMA imekuwa ya kwanza kwa uvumilivu wa kisiasa na kufuatia na CCM lakini CUF na NCCR pamoja na kuwa na wasomi wa Uchumi na siasa wamekuwa wanaongozwa kwa Udikiteta!!!

Watu Wengi waliohama CUF (Lwakatare Safari), NCCR (Mabere Marando, Joseph Selasini) wamekuwa na Mchano mkubwa katika jamii ya demokrasia .

Angalia John Shibuda kutoka CCM alitaka kuvuruga CDM kwa hoja ya Posho lakini Hekima na uvumilivu wa kisiasa umeokoa na sasa hoja ya posho hata CCM wanamuona Shibuda ni mwehu!!!
Sasa ingekuwa CDM wamukurupuka kumufukuza Shibuda kama Seif alivyo kurupuka kumufukuza HR, kama Mbatia alivyokurupuka kumufukuza Kafulila ingekuwa aibu tupu!!!!!!!
 
mtikila alitaka kuwepo na mgombea binafsi wakambeza sasa tendwa jana anapanua panua domo lake sijui hata anachoongea
 
kweli wapiganaji wangu wa(NCCR) Kigoma kusini,maamuzi mliochukua ni halali ya kwenda mahakamani kupinga ni vizuri sana..sisi wana mageuzi tupo nyuma yako!!!
 
Back
Top Bottom