mchakato wa kuanzisha kipindi kwenye runinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mchakato wa kuanzisha kipindi kwenye runinga

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Raia Fulani, Oct 29, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wadau nauliza ni hatua gani na taratibu zipi za kufuata katika kuanzisha kipindi, mfano wa kile cha dk 45 cha itv. Nahitaji nami kuanzisha kipindi japo mi sio mwanahabari.
   
 2. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Binafsi sijakuelewa labda tusubili pure great thinkers waje.
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  inaonekana hakuna
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Unatengeneza proposal,ambayo inatakiwa ionyeshe cost za wazamini na malipo ya airtime kwa tv station,pia ukiwaza unatengeneza mfano alisia wa hicho kipindi kuongezea ushawishi kwa unaotaka wadhamini icho kipindi.
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  umesomeka halfway mkuu
   
Loading...