Tetesi: - Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi: Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Chamwino, Dec 6, 2017.

 1. C

  Chamwino Member

  #1
  Dec 6, 2017
  Joined: Jul 31, 2016
  Messages: 49
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 25
  *BREAKING NEWS*:


  Wafuasi Wa Thobias Mwesiga wakiongozwa na Kangoye wakamatwa mkoani Mbeya wakigawa rushwa kwa wajumbe ya Tsh 40,000/= kwa kila mjumbe Wa mkutano mkuu.

  Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wafuasi hao wameshikiliwa na maafisa Wa TAKUKURU na kupelekwa kituo cha police mjini Mbeya.

  January Makamba amepiga simu kadhaa kuwaomba takukuru wamuachie kimya kimya ili hili tukio lisijulikane.

  Tunaendelea kufuatilia kwa karibu suala hili na tutawaletea taarifa kamili hivi punde
   
 2. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #41
  Dec 6, 2017
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 15,353
  Likes Received: 2,156
  Trophy Points: 280
  ukoo wa panya.
  ukiona hivyo anakamatwa ujue hawakutaki.
   
 3. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #42
  Dec 6, 2017
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,485
  Likes Received: 9,211
  Trophy Points: 280
  Yes, kama Samaki na maji..
  Kama Mvua na bati...
  Kama Babu na koti...
  Kama konda na noti..

  Rushwa mwanzo mwisho!

  Mnyeti! Mnyeti! Mnyeti! Mnyeti!
   
 4. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #43
  Dec 6, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 21,335
  Likes Received: 12,535
  Trophy Points: 280
  CCM haitakagi wala rushwa...hata fisadi kuu tulikata likahamia huko chadema
   
 5. R

  Rafikikabisa JF-Expert Member

  #44
  Dec 6, 2017
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hizi ndiyo fitina za vyama. Hivi mbona hata picha hakuna? Inawezekana Mwesigwa Ni tishio.
   
 6. kwembe87

  kwembe87 JF-Expert Member

  #45
  Dec 6, 2017
  Joined: Jan 2, 2017
  Messages: 272
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 80
  Wanapamba rushwa wanatuhadaa tu
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #46
  Dec 6, 2017
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 13,063
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280

  CCM na RUSHWA wana ndoa ya kudumu.
   
 8. kirikou1

  kirikou1 JF-Expert Member

  #47
  Dec 6, 2017
  Joined: Nov 8, 2016
  Messages: 3,256
  Likes Received: 3,955
  Trophy Points: 280
  acha yaendelee kung'atana maana ndo jadi yao
   
 9. Cannibal OX

  Cannibal OX JF-Expert Member

  #48
  Dec 6, 2017
  Joined: Aug 27, 2014
  Messages: 1,934
  Likes Received: 2,056
  Trophy Points: 280
  Rushwa ni adui wa haki tupambane kumtokomeza huyu mdudu rushwa.
   
 10. Ranks

  Ranks JF-Expert Member

  #49
  Dec 7, 2017
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 2,599
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Si mwajifanya sasa tumepata mwarobaini wa matatizo ya wananchi?Sasa kama nawe umeona hataweza kupambana na rushwa kama hao watangulizi wake,basi amini ccm wote ni wasanii hivyo watakiwa kung'olewa madarakani mara moja na kwa gharama yoyote.
   
 11. Asiye na Chama

  Asiye na Chama Member

  #50
  Dec 7, 2017
  Joined: Dec 1, 2017
  Messages: 63
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 25
  Lakini kama ni jadi ujue ndio inaua nchi!
   
 12. kwembe87

  kwembe87 JF-Expert Member

  #51
  Dec 7, 2017
  Joined: Jan 2, 2017
  Messages: 272
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 80
  Anapamba rushwa tu hana lolote
   
 13. ChamaDola

  ChamaDola JF-Expert Member

  #52
  Dec 7, 2017
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 3,440
  Likes Received: 2,735
  Trophy Points: 280
  Mahakama ndiyo chombo pekee kinachoweza kumuhukumu mtu,nyie ni akina nani mpaka muwahukumu?
   
 14. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #53
  Dec 7, 2017
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 7,275
  Likes Received: 3,355
  Trophy Points: 280
  Halafu kuna ma-Dr mapumbavu yanakuja na utafiti wa kisenge eti Rushwa imepungua nchini katika awamu hii ya uongozi? Mamamaye,, REPOA wamefulia! Rushwa inapunguaje wakati kubwa la viongozi linatoa mabilioni ya walipa kodi kwa mambo ya kijinga? Mamamaye ma-Dr wa REPOA!
   
 15. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #54
  Dec 7, 2017
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 7,275
  Likes Received: 3,355
  Trophy Points: 280
  Halafu kuna ma-Dr mapumbavu yanakuja na utafiti wa kisenge eti Rushwa imepungua nchini katika awamu hii ya uongozi? Mamamaye,, REPOA wamefulia! Rushwa inapunguaje wakati kubwa la viongozi linatoa mabilioni ya walipa kodi kwa mambo ya kijinga? Mamamaye ma-Dr wa REPOA!
   
 16. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #55
  Dec 7, 2017
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 7,275
  Likes Received: 3,355
  Trophy Points: 280
  Halafu kuna ma-Dr mapumbavu yanakuja na utafiti wa kisenge eti Rushwa imepungua nchini katika awamu hii ya uongozi? Mamamaye,, REPOA wamefulia! Rushwa inapunguaje wakati kubwa la viongozi linatoa mabilioni ya walipa kodi kwa mambo ya kijinga? Mamamaye ma-Dr wa REPOA!
   
 17. Bowie

  Bowie JF-Expert Member

  #56
  Dec 7, 2017
  Joined: Sep 17, 2016
  Messages: 3,341
  Likes Received: 4,425
  Trophy Points: 280
  Takukuru waanze na huyo aliyepiga simu January Makamba
   
 18. Mahandeiboho

  Mahandeiboho Member

  #57
  Dec 7, 2017
  Joined: Dec 27, 2016
  Messages: 85
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 25
  Ccm wanajifanya watakatifu katika suala la rushwa lakini kiuhalisia ndiyo vinara.
   
 19. mwayungi

  mwayungi JF-Expert Member

  #58
  Dec 7, 2017
  Joined: May 9, 2017
  Messages: 1,542
  Likes Received: 2,609
  Trophy Points: 280
  Alitoka cha gani kabla ya kuwa CDM???Kafanya ufisadi gani toka afike CDM???Wewe ni zero brain
   
 20. B

  Babati JF-Expert Member

  #59
  Dec 7, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,846
  Likes Received: 25,084
  Trophy Points: 280
  Wanaongoza ni akina nani?
   
 21. G

  Getang'wan JF-Expert Member

  #60
  Dec 7, 2017
  Joined: Apr 9, 2015
  Messages: 1,133
  Likes Received: 1,022
  Trophy Points: 280
  Acha wakome na njaa zao. Ccm wajanja kweli kweli. Uchaguzi umepelekwa karibu na sikukuu ili watoe rushwa kiurahisi. Ccm hoyeeee.
   
Loading...