Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Ccm ndio mchezo wao huo
Swissme
ukoo wa panya.
ukiona hivyo anakamatwa ujue hawakutaki.
Ccm ndio mchezo wao huo
Swissme
Yes, kama Samaki na maji..CCM na RUSHWA ni kama SAMAKI na MAJI
CCM haitakagi wala rushwa...hata fisadi kuu tulikata likahamia huko chademaukoo wa panya.
ukiona hivyo anakamatwa ujue hawakutaki.
Wanapamba rushwa wanatuhadaa tuCCM na RUSHWA ni kama SAMAKI na MAJI
CCM na rushwa ni mapacha wafananao
acha yaendelee kung'atana maana ndo jadi yaoView attachment 645461. Hii ndio serikali ya Magufuli bana. Na bado, kinachofata ni kuenguliwa katika kinyanganyiro. Na tafadhali sana TAKUKURU msiwatoe hao mpaka uchaguzi upite tarehe 12.12.2017
Si mwajifanya sasa tumepata mwarobaini wa matatizo ya wananchi?Sasa kama nawe umeona hataweza kupambana na rushwa kama hao watangulizi wake,basi amini ccm wote ni wasanii hivyo watakiwa kung'olewa madarakani mara moja na kwa gharama yoyote.Kwahiyo aache kupambana? Ni rais wa awamu gani aliyeweza?
Lakini kama ni jadi ujue ndio inaua nchi!acha yaendelee kung'atana maana ndo jadi yao
Anapamba rushwa tu hana loloteNdio kazi yenu CCM kuhonga honga. Mwenyekiti wenu kashindwa kupambana na rushwa ndani ya CCM, ya nchi atayaweza?
Halafu kuna ma-Dr mapumbavu yanakuja na utafiti wa kisenge eti Rushwa imepungua nchini katika awamu hii ya uongozi? Mamamaye,, REPOA wamefulia! Rushwa inapunguaje wakati kubwa la viongozi linatoa mabilioni ya walipa kodi kwa mambo ya kijinga? Mamamaye ma-Dr wa REPOA!Baba la ufisadi na mwalimu mkuu wa ufisadi yuko Chadema

Ccm wanajifanya watakatifu katika suala la rushwa lakini kiuhalisia ndiyo vinara.Rushwa ndio jadi yao
Alitoka cha gani kabla ya kuwa CDM???Kafanya ufisadi gani toka afike CDM???Wewe ni zero brainBaba la ufisadi na mwalimu mkuu wa ufisadi yuko Chadema
Wanaongoza ni akina nani?Rudisheni ile list of Shame kwenye website ya chama
Acha wakome na njaa zao. Ccm wajanja kweli kweli. Uchaguzi umepelekwa karibu na sikukuu ili watoe rushwa kiurahisi. Ccm hoyeeee.Hao cha mtoto,hapa mkoani uchaguzi wa mwenyekiti wajumbe wanalalamika wamepata elfu50 Tu waliahidiwa 80