Tetesi: Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba


N

Nyamemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
747
Likes
170
Points
60
N

Nyamemba

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
747 170 60
*BREAKING NEWS*:


Wafuasi Wa Thobias Mwesiga wakiongozwa na Kangoye wakamatwa mkoani Mbeya wakigawa rushwa kwa wajumbe ya Tsh 40,000/= kwa kila mjumbe Wa mkutano mkuu.

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wafuasi hao wameshikiliwa na maafisa Wa TAKUKURU na kupelekwa kituo cha police mjini Mbeya.

January Makamba amepiga simu kadhaa kuwaomba takukuru wamuachie kimya kimya ili hili tukio lisijulikane.

Tunaendelea kufuatilia kwa karibu suala hili na tutawaletea taarifa kamili hivi punde
 
N

ntemintale

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Messages
885
Likes
1,717
Points
180
Age
29
N

ntemintale

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2016
885 1,717 180
Ndio kazi yenu CCM kuhonga honga. Mwenyekiti wenu kashindwa kupambana na rushwa ndani ya CCM, ya nchi atayaweza?
 
Kajirutaluka

Kajirutaluka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
1,235
Likes
968
Points
280
Age
36
Kajirutaluka

Kajirutaluka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
1,235 968 280
Ok. Mkimaliza huko rushwa mhamishie kwa majirani
 
C

chikundi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Messages
8,255
Likes
2,262
Points
280
Age
48
C

chikundi

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2016
8,255 2,262 280
Ndio kazi yenu CCM kuhonga honga. Mwenyekiti wenu kashindwa kupambana na rushwa ndani ya CCM, ya nchi atayaweza?
Kwahiyo aache kupambana? Ni rais wa awamu gani aliyeweza?
 
L

Lumwagoz

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
858
Likes
678
Points
180
Age
40
L

Lumwagoz

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2013
858 678 180
Ni vigumu sana kwa ccm kushinda nafasi yyte ndani ya chama bila kutoa rushwa. Narudia tena kusema ni vigumu sana kushinda uchaguzi ndani ya ccm bila kutoa rushwa.
 
Cannabis

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
999
Likes
2,052
Points
280
Cannabis

Cannabis

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
999 2,052 280
Ingekuwa yale mashindano ya "Olimpiki" kuna michuano ya rushwa nafikiri Tanzania tungeipeleka timu ya CCM, hakika tungerudi na medali ya dhahabu kila mwaka
 
J

JAY THE SON

Member
Joined
Nov 26, 2017
Messages
45
Likes
22
Points
15
J

JAY THE SON

Member
Joined Nov 26, 2017
45 22 15
Mtoa taarifa umetoa taarifa yako kishamba na wew huna mamlaka ya kuzungumzia taarifa iliyopo ktk taasisi Fulani bila kibali nyie ndio mkikamatwa ili mtoe ushahid mnaanza kuhaha kutafuta Huduma ya wadau kifupi taarifa yako ni umbea kama umbea mwingine na tutakupuuza
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,242
Likes
17,053
Points
280
Age
18
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,242 17,053 280
Kule Musoma polepole alisikika akisema mkuu katoa more than 8 billion kwa ajiri ya upinzani ccm majanga.Hapa rushwa tuSwissme
 

Forum statistics

Threads 1,214,405
Members 462,704
Posts 28,511,052