Tetesi: Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba

Kwahiyo aache kupambana? Ni rais wa awamu gani aliyeweza?
Si mwajifanya sasa tumepata mwarobaini wa matatizo ya wananchi?Sasa kama nawe umeona hataweza kupambana na rushwa kama hao watangulizi wake,basi amini ccm wote ni wasanii hivyo watakiwa kung'olewa madarakani mara moja na kwa gharama yoyote.
 
Baba la ufisadi na mwalimu mkuu wa ufisadi yuko Chadema
Halafu kuna ma-Dr mapumbavu yanakuja na utafiti wa kisenge eti Rushwa imepungua nchini katika awamu hii ya uongozi? Mamamaye,, REPOA wamefulia! Rushwa inapunguaje wakati kubwa la viongozi linatoa mabilioni ya walipa kodi kwa mambo ya kijinga? Mamamaye ma-Dr wa REPOA!
 
Hao cha mtoto,hapa mkoani uchaguzi wa mwenyekiti wajumbe wanalalamika wamepata elfu50 Tu waliahidiwa 80
Acha wakome na njaa zao. Ccm wajanja kweli kweli. Uchaguzi umepelekwa karibu na sikukuu ili watoe rushwa kiurahisi. Ccm hoyeeee.
 
Back
Top Bottom