Tetesi: Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba


tweenty4seven

tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Messages
7,953
Likes
5,886
Points
280
tweenty4seven

tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2013
7,953 5,886 280
Baba anahonga watoto watashindwaje
Baba anachukia rushwa wala hapendi kuisikia rushwa maishani mwake,rohoni kwake anapenda rushwa kuliko awamu zote za ccm yani ananunua madiwani,wabunge kwa budget ya serikali
 
J

jumamwaki

Senior Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
133
Likes
152
Points
60
J

jumamwaki

Senior Member
Joined Dec 4, 2017
133 152 60
kamwe CCM hawawezi kuacha Rushwa kwa sababu hiyo ndiyo huwasaidia siku zote kuwa jukwaani kwenye maonyesho
 
M

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
5,610
Likes
1,440
Points
280
M

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
5,610 1,440 280
Taratibu Albadiri zinafanya Kazi. Wengine waita dua ya Kuku haimpati Mwewe
 
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
5,463
Likes
5,834
Points
280
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
5,463 5,834 280
HAWATAFANYWA LOLOTE
 
princesslwyr

princesslwyr

Senior Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
111
Likes
56
Points
45
Age
29
princesslwyr

princesslwyr

Senior Member
Joined Oct 11, 2016
111 56 45
Ingekuwa yale mashindano ya "Olimpiki" kuna michuano ya rushwa nafikiri Tanzania tungeipeleka timu ya CCM, hakika tungerudi na medali ya dhahabu kila mwaka
Hahahhaa ni kwl kabisa
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
20,227
Likes
14,080
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
20,227 14,080 280
Mtoa taarifa umetoa taarifa yako kishamba na wew huna mamlaka ya kuzungumzia taarifa iliyopo ktk taasisi Fulani bila kibali nyie ndio mkikamatwa ili mtoe ushahid mnaanza kuhaha kutafuta Huduma ya wadau kifupi taarifa yako ni umbea kama umbea mwingine na tutakupuuza
Mtampuuza Lumumba!
 
M

miwani ya maisha

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,232
Likes
1,387
Points
280
Age
40
M

miwani ya maisha

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,232 1,387 280
Ni vigumu sana kwa ccm kushinda nafasi yyte ndani ya chama bila kutoa rushwa. Narudia tena kusema ni vigumu sana kushinda uchaguzi ndani ya ccm bila kutoa rushwa.
Ikishindina kabisa kushinda kwa RUSHWA WANAIBA KURA kama 2015!
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
6,924
Likes
8,723
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
6,924 8,723 280
January Makamba anaingiaje humo? Au anataka kupandikiza ''watu wake'' ili waanze michakato yao ya kumpromote kama mtu anayekubalika sana ndani ya Chama kwa malengo ya uRais?
 
kilalile

kilalile

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
1,524
Likes
1,982
Points
280
kilalile

kilalile

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
1,524 1,982 280
Sasa bora yupi, yule anaetuhumiwa kudanganya umri au huyu anaegawa rushwa?
Tafakari
 

Forum statistics

Threads 1,215,028
Members 463,005
Posts 28,532,649