Mchakamchaka ya CUF chali, yageuka chama cha press conference

Mchakamchaka ya CUF chali, yageuka chama cha press conference

Mbona hiyo kauli mbiu ya 'CHADEMA TUNA MUNGU' ilithibitishwa juzi na DR W Slaa. Ukitaka ushahidi nitakupatia. Mimi sipendi uzushi.

Mmebadilisha ile ya peoplez power lakini hii slogan ndio itawamaliza kabisa.

suprised, sasa waseme wana shetan?
 
Anae sema CUF imekufa huyo atakua na hitlafu kwenye akilizake. Kwanza anatakiwa atambue kua mpinzani wa kweli ni CUF wengine ni vishuruala tu. Angalia historia ya CUF na misuko suko iliyo ipata kama mpinzani angalia vifungo walio pitia viongozi wake akina Maali Seiph, Juma Hadj Duni wote washapinda ubavu mmoja kwasababu ya harakati zao za kuitetea HAKI ona Profesor alivyo chezea kipigo pale keko yote ni harati za kweli. Sasa kiongozi gani ndani ya CDM aliye pata misuko suko japo kupigwa kofi tu. Hapo utagu ndua kua CDM ni chombo kilicho undwa kunyamazisha upinzani, ni isia zilizo anzia kanisani na kupokewa na waumini wake kama mkombozi wao.
Kwanini CUF mnapokuwa kwenye mijadala yenu na operesheni zenu mnaiongelea CHADEMA na si CCM? Kwani mpinzani wa CUF ni nani? CCM au CHADEMA? Nilidhani mngekuwa mnaiponda CCM na kuisifia CHADEMA kama kweli mnataka mabadiliko ya kweli yenye nia ya kuikomboa Tanzania na watanzania kwa ujumla wao.
 
Kwanini CUF mnapokuwa kwenye mijadala yenu na operesheni zenu mnaiongelea CHADEMA na si CCM? Kwani mpinzani wa CUF ni nani? CCM au CHADEMA? Nilidhani mngekuwa mnaiponda CCM na kuisifia CHADEMA kama kweli mnataka mabadiliko ya kweli yenye nia ya kuikomboa Tanzania na watanzania kwa ujumla wao.

Acha kujifanya hamnazo. Kwani Chadema na CUF ni nani anayemshambulia mwingine? CHADEMA kila siku wanasikika wakiita CUF CCM B ilhali CHADEMA ni yosso ya CCM!
 
ndio hayo yanawahamasishs wana mtwara kudai gesi yao issibiwe na kupelekwa china.huo ni mchango mkubwa sana.
Kwataarifa yako Mtwara akitaja kitu CDM kila mmoja atakudharau kwao CDM = Mfumo cristo
 
1.hamkuwa na wanasheria,wataalam,au watu wenye plan ndani ya CUF na hatimaye mkajikuta mnamkumbatia ccm.
2. kupigwa kwa viongozi waupinzani sio dalili ya umakini waviongozi hao kuleta ukombozi unaokusudiwa.
3. iweje aliyekupiga leo hii umeungana nae SHIDA yako pale ilikuwaupigwe kwanza halafu ujipendekeze kwake??????
4. viongozi makini wa upinzani wa kweli wanaonekana kwa hoja zao na mikakati yao.
5. ni wazi viongozi wa upinzani kupitia CUF hawakuwa na dhamira ya kuwakomboa wananchi,iipokuwa tu
lengo lao walikuwa wanalilia VING"ORA na KUPEPERUSHA BENDERA kwenye magari yao
hii naithibitisha kupitia KATAZO mnazowapa wabunge kutoungana na wapinzani bungeniwanapokuwa wanatetea wananchi.
6.ninyi sio wapinzani tena msihadae watzkuanzia sasa.
7. chama DUME kinaonyesha mipango na mikakati yake ya kwenda IKULU na sio kama CUF ilivyo haina mwelekeo.
 
Kama CDM ni chama cha upinzani kinampinga nani? CCM au CUF, naona mashabiki wake wanashambulia CUF hawa SIO WAPINZANI! Ishu ya serikali ya umoja wa kitaifa tumeshuhudia ZIMBABWE, KENYA na nchi kibao za AFRICA tena kenya kupitia hiyo serikali ya umoja wa kitaifa wameweza angala kufanya uchaguzi unao fanana na WAHAKI hawa CCM-A wanakuja kuvuruga ili CCM- Halisi waendelee kuhujumu nchi MUNAMKOMOA NANI? ni CUF ndugu na jamaa zenu wanao feli shule za kata halafu mwawataka wafaulu kwa kuandamana si mungetoa msaada wa kuingia darasani kuwafundisha WACHENI KUALIBU NCHI KWA kisingizio eti nyie wapinzani(CDM/CCM-A), sio watanzania wote mambumbumbu wengi wanaeklewa!
 
kwataarifa yako mtwara akitaja kitu cdm kila mmoja atakudharau kwao cdm = mfumo cristo

kama igunga vile tuliambiwa cuf wana mtaji wa kura 11,000.uchaguzi ulipofika aibu yake anaijua mtatiro.
 
kuna tym utagundua kweli si wapinzan ni mamburula tunaanza kuongelea movement za chama kisicho kuhusu badala ya kujenga chako jiulize operation sangara imeishia wapi now M4C inafanya next year serikali za mitaa ni uchagyz ndo utatoa dira kukubalika kwa upinzani tanzania kivipi tufanye vizuri lakin wap si yetu majungu kama huyu mburula wa huu uzi
 
Kama CUF na CCM ni bana na bibi, CHADEMA na CCM ni mtu na bintiye i.e wote dam dam.
HA HA HA AHA AHA AHA AHANA AAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. INAILAH. siPENDI CUF IFE ILA NAPENDA MAMLUKI WALIOKO CUF NA WANAOLAZIMISHA NDOA YA CUF NA SISIEM WAFE SASA HIVI.
yani kufunga ndoa na ccm ndo upinzani wa wakweli acha kulazimisha fikra za mabua
Itakuwa ndoa inakaribia kuvunjika kwaiyo matumizi yanapungua pole pole RIP CUF
Acha kutapika mashudu hapa.
Jibu hoja mchakamchaka wa CUF hata Pemba haupo tena, vipi kuna tatizo gani?
Je tatizo la CUF ni ile ndoa na CCM?
Lumumba wanaweza kuwa wamegoma kutoa mkwanja?
Umezungumza mengi lakini pointi moja ni kwamba, CCM na CUF wamefungandoa hivyo wamekuwa mwili / kitu kimoja lazima waishambulie CDM. Kwa kuthibitisha hili njoo Igunga. CCM wamelipa MAHARI baada ya kuwanunulia CUF Helkopter, hivyo lazima Hamad Rashid amsifie Mume wake CCM. Lakini makamanda wa CDM hatutishwi na hiyo ndoa yao, CDM mwendo mdundo hadi kieleweke.
Kawaida mke na mume wanaweza kushambuliana wakiwa ndani ya nyumba yao - lakini wakitoka nje lao linakuwa moja, wanafuta tofauti zao na wanaelekeza mashambulia yao kwako. kuwa makini sana mnapo deal na wanandoa.
ina maana hujui cuf wanatunza ndoa yao na ccm?chama cha upinzani tanganyika ni chadema...hiyo hata Bakwata wanajua mbona.
CCM + CUF = Serikali ya kitaifa ya Zanzibar
Serikali ya kitaifa ya Zanzibar = agreement btn CCM and CUF
agreement = ndoa
Conclusion:
CCM +CUF = Ndoa
Wakuu, hili la kuuita ushirikiano wa CUF na CCM ni ndoa, wenyewe hawapendi hili neno!.
imeelezwa hilo neno ndoa ni tusi kwa wenzetu!. angalia hapa
Matusi hayo.

Mimi ni CCM lakini wewe Pasco hii lugha uliyotumia hapa ni ya kishenzi na si lugha ya kisiasa.

Punguani wahed.
Nisianze nini wewe? hakuna ndoa ya kisiasa duniani, sijawahi kuona, onesha moja kama u mkweli.

Hizi lugha za kishenzi pelekeni hukohuko, kama kwenu ni kawaida wengine zinatuudhi. kama huo si ushenzi na matusi ni nini?
Muafaka wa kisiasa wa Zanzibar ni faraja kubwa kwa Wazanzibari kushirikiana na kuijenga nchi yao, na huo muafaka si ndoa, kufikiri hivyo ni kuwatukana Wazanzibari na matusi si uungwana.

Hayo yalianzia huku bara baina ya Tanganyika na Zanzibar ilikuwa ikiitwa ndoa ikapigiwa kelele kuwa hilo si neno jema ni kutukanana, siku hizi halitumiki sasa

Natoa wito tusilitumie tena neno hili neno ndoa ya CCM na CUF!, ni matusi!.

Pasco
 
Wakuu, hili la kuuita ushirikiano wa CUF na CCM ni ndoa, wenyewe hawapendi hili neno!.
imeelezwa hilo neno ndoa ni tusi kwa wenzetu!. angalia hapa


Natoa wito tusilitumie tena neno hili neno ndoa ya CCM na CUF!, ni matusi!.

Pasco

Haha Pole Pasco
 
Dah siasa hizi nimeamini binadamu tunaishi kwa unafiki. Uzi wa miaka ya nyuma kidogo ila ukilinganisha na hali ya sasa ni kama binadamu wanakula matapishi... hahahahaha... inabidi ujitoe ufahamu ndio uwe mwanasiasa.
 
Back
Top Bottom