Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
- Thread starter
- #61
Akili yangu inaweza kuwa ndogo ila yako inaweza kuwa ndogo zaidi.
Mfano, kama una akili kubwa; Inawezekanaje wewe kujifananisha na nguruwe?
jibu hoja nilizoibua kama huwezi kaa kimya.hiyo picha haina uhusiano wowote na hoja zangu.