Mchakamchaka ya CUF chali, yageuka chama cha press conference

Mchakamchaka ya CUF chali, yageuka chama cha press conference

Hii ndio kauli mbiu ya CHADEMA. kweli chadema mna mungu!

Mlitaka kuingia ikulu kwa kauli mbiu hiyo lakini watanzania wapenda amani tuliwashtukia.

Msitake kuingia ikulu kwa kutugawa kidini hamtafanikiwa.
Mkuu mbona una imba na kucheza ngoma za CCM, wewe sio mtu wa Lumumba kwa NAPE????

 
Operation ile ilikuwa inafadhiliwa na mtaa wa Lumumba Dar (CCM) saizi wamegoma kutoa fedha wako wapi CUF??

hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!
Ni baada ya kushindwa kuibomoa chadema Arusha kama walivyo tarajia baada ya kuona mambo magumu walikodisha mabasi kumi na tano na kubeba watu kutoka Dar, Moro na Tanga ili kujaza watu kwenye mkutano wao lakini cha ajabu watu wakutoka Arusha siku hiyo walikuwa hawazidi 80, ndiyo themanini..na kichapo walipata kutoka kwa wana-Arusha baada ya kuwashobokea kiaina..
 
akili yako ndogo sana.hata kama tume haiko huru (na cuf walijua hilo) bado chama makini kilipaswa kushindana na kutumia mwanya huo kuonyesha namna ambavyo tume sio huru kama cdm walivyopinga matokeo huko igunga na sumbawanga na sasa hakuna wabunge isipokuwa ccm wanachelewesha uchaguzi makusudi.

Akili yangu inaweza kuwa ndogo ila yako inaweza kuwa ndogo zaidi.

Mfano, kama una akili kubwa; Inawezekanaje wewe kujifananisha na nguruwe?
 
Pole sana kwa kutofahamu matusi yapoje, CUF ngangari? umenielewa sawa sawa? imeshakufa...

CUF ngangari. Naona mmebadili kauli mbiu yenu siku hizi badala ya ile peoples power. Unaijuwa?
 
Mchaka mchaka unaendelea. CUF haiwezi kuweka strategies zake mitandaoni kama CHADEMA.
Watanzania wote wanajua kwamba CHADEMA mna migogoro isiyokwisha na kutokuaminiana ndani ya chama chenu.

Katibu mkuu vs Naibu, Makamo mwenyekiti vs uongozi wa Bavicha kule mkoani na maeneo mengine. Kufikiri kuwa mtaongoza serikali kwa namna hii sahauni. CUF will show you the direction kwa vile ina nia njema na watanzania.
Naona unashabikia mbinu za CCM za kudhoofisha chama chetu, CUF imebebwa na mbeleko ya CCM, kazi ya upinzani kwenu finito!!!!!

 
HA HA HA AHA AHA AHA AHANA AAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. INAILAH. siPENDI CUF IFE ILA NAPENDA MAMLUKI WALIOKO CUF NA WANAOLAZIMISHA NDOA YA CUF NA SISIEM WAFE SASA HIVI.
 
Watanzania huwa wanaboreka kisiasa. Hii political boredom inabidi wasomi waichunguze.
 
Tunashambulia CUF coz CUF na CCM ni bwana na bibi.Wote ni Maadui.Cuf bwana,uroho wa madaraka hadi wakafunga ndoa na CCM.Sasa hivi Maalim Seif Chali.Madaraka matamu.Kila siku kiguu na njia yuko Dar naona anapitishwa na Misafara,Alafu eti hataki Muungano.Chezea Ankara Weye.

Kama CUF na CCM ni bana na bibi, CHADEMA na CCM ni mtu na bintiye i.e wote dam dam.

Sizushi ila ni kwa ishara zifuatazo:

CHADEMA ina wana CCM kibao katika safu yake ya uongozi. Kwa ushahidi mnaoutoa wenyewe ni hawa kwa uchache; Naibu katibu mkuu, Shibuda, Dr Kitila, Ludovic ambaye yuko jela sasa hivi.

Kwa hiyo CHADEMA ni yosso ya CCM. Vijana wakiiva wanawaita wanawapeleka Lumumba. Angalia akina mwampamba na Shonza.

CUF ndicho chama cha upinzani pekee kisichomung'unya maneno katika kufanya maamuzi.

Mtizame Hamad Rashid. one time amechinjiwa baharini.
 
Mkuu labda hujaelewa haijashambuliwa CUF bali mtao mada kaauliza swali V4C imekwamia wapi????

Mkuu mimi sijasoma ki hivyo lakini jamaa hajauliza swali. Katika uzi wote hakuna alama ya kuuliza, ni statement na akafikia conclusion kwamba ni chama cha press conference. Ila alikuwa hajui kuwa anaipiga madongo CHADEMA kiana!
 
Mkuu mbona una imba na kucheza ngoma za CCM, wewe sio mtu wa Lumumba kwa NAPE????

Mbona hiyo kauli mbiu ya 'CHADEMA TUNA MUNGU' ilithibitishwa juzi na DR W Slaa. Ukitaka ushahidi nitakupatia. Mimi sipendi uzushi.

Mmebadilisha ile ya peoplez power lakini hii slogan ndio itawamaliza kabisa.
 
Kama cuf wamezindua operation arusha alafu wameleta wahudhuriaji kutoka dar kwa mabasi kwa nini operation isife kifo cha asili??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
yani kufunga ndoa na ccm ndo upinzani wa wakweli acha kulazimisha fikra za mabua
Hizo ni propaganda za CDM ktk kuwa laghai wananchi. Sikweli CUF kimefunga ndoa ya kisiasa na CCM. Kilicho fanyika kule Zanzibar ni kurudisha amani iliyo anza kupotea miungoni mwao kwasababu za kisiasa. Kwanza kitendo kile ni ishara ya ukomavu wa kisiasa. Ila kwakua CDM ni chombo kilicho undwa na CCM kuja kudhibiti upinzani, wakaichukua ajenda ile na kupita kutangaza ktk majukwaa ya kisiasa kua CUF ime funga ndoa na CCM. Swali la kuji uluza ndoagani ifungwe Visiwani tu na sio Nchi nzima? Kwanini leo Lipumba sio makamu wa kwanza wa Rais huku bara? Jibu kwamtu mwenye kujitambua na kutambua siasa za TZ na muelekeo wake kwa ujumla, atafaham kua hiyo ni propaganda tu.
 
Hivi mungu akikupenda zaidi kuna chuki ya mwanadamu itakayofua dafu? Umejimaliza mwenyewe.

CUF ndio chama mbadala kwa watanzania, CHADEMA ni kengele tu ya kutuamsha kutoka usingizini!
Hawalijui hilo mkuu
 
Hivi mungu akikupenda zaidi kuna chuki ya mwanadamu itakayofua dafu? Umejimaliza mwenyewe.

CUF ndio chama mbadala kwa watanzania, CHADEMA ni kengele tu ya kutuamsha kutoka usingizini!
Kweli mkuu CDM nikama kengele tu
 
Umetoa historia lakini jiulize malengo CUF yalifikiwa?Kwa nini chama kilingia kwenye mtego wa WA PANYA WA CCM?Ama ni kukosa viongozi wenye upeo wa kuona mbali????
KUKOSA KWENU MBINU UNATAKA NA SISI TUVUNJWE MIKONO???
Ivi CDM mume fanikiwa ktk lipi ambalo CUF haku fanikisha?
 
HA HA HA AHA AHA AHA AHANA AAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. INAILAH. siPENDI CUF IFE ILA NAPENDA MAMLUKI WALIOKO CUF NA WANAOLAZIMISHA NDOA YA CUF NA SISIEM WAFE SASA HIVI.
Bangi bhana
 
CHADEMA bana, yaani mnailinganisha CHADEMA na CUF kwa mikakati? This is laughable!

V4C inaendelea mikoani kama kawaida wakati CHADEMA wameshughulishwa na mambo yasiyowajenga kama: Issue ya Lwaka na Ludo.

CHADEMA ina uhai kwenye mtandao sio kwa wananchi on the ground.

By the way kwanini mnashambulia CUF badala ya CCM?

Shida moja mnadhaniaga wote wanaochangia humu wapo Dar, hiyo mikoa unayoisema ni ipi mkuu? Mi nazurula kweli, hata sasa nipo mkoani but sioni hicho unachosema eti mtandao wa CUF, kiufupi hata zile sehemu mlizokua na ngome imara kwasasa kuna nyufa nyingi sana, mfano chukulia tu uchaguzi wa Igunga na kule Zanzibar, si unakumbuka hata yule jama mwenye jicho chongo alionesha kua CUF ndio chama cha kidini na kikanda!
 
Back
Top Bottom