Kwanini CUF na CCM Waiandame CHADEMA?

CCM na CUF hawatoi wanawake mavazi yao ya stara...cdm wanafanya hivyo..

Wako tofauti sana hawa
Na wee akili yako ni ileile ya BAKWATA hujui hata kutofautisha hijabu na mtandio. Nyie ndo waislam magumashi hamjui hata kanuni za dini yenu. Lkn mda si mrefu waislam wa kweli watawashtukia na ndipo mtajihisi mko uchi.
 
Haya basi cdm wanatoa mitandio ya wanawake lakini CCM na CUF hawafanyi umefurahi!
 
CCM + CUF = Serikali ya kitaifa ya Zanzibar
Serikali ya kitaifa ya Zanzibar = agreement btn CCN and CUF
agreement = ndoa
Conclusion:
C
 
Na wee akili yako ni ileile ya BAKWATA hujui hata kutofautisha hijabu na mtandio. Nyie ndo waislam magumashi hamjui hata kanuni za dini yenu. Lkn mda si mrefu waislam wa kweli watawashtukia na ndipo mtajihisi mko uchi.

Jibu lake rahisi, CUF walishaungana na CCM zamani sana. CDM Ndiyo chama pekee cha upinzani. CUF wanatawala nchi pamoja na CCM
 
CCM + CUF = Serikali ya kitaifa ya Zanzibar
Serikali ya kitaifa ya Zanzibar = agreement btn CCM and CUF
agreement = ndoa
Conclusion:
CCM +CUF = Ndoa
 
ina maana hujui cuf wanatunza ndoa yao na ccm?chama cha upinzani tanganyika ni chadema...hiyo hata Bakwata wanajua mbona.
 
CHADEMA is the NAME OF THE GAME! pasipo kuitaja hilo chama watu hawawezi wasikiliza!
 
Mkuu issue hiyo mbona iko wazi kabisa, CUF wanatumiwa ili kuvuruga mipango ya CDM. Haya ni mambo ya politiki!
Mkuu umesahau 'ndoa' ya CCM na CUF kule Zanzibar??
Siku hizi unamsikia Maalim Sharrif Hamad akifurukuta baada ya kupata uongozi? This is 'devide and rule'.
Umezungumza mengi lakini pointi moja ni kwamba, CCM na CUF wamefungandoa hivyo wamekuwa mwili / kitu kimoja lazima waishambulie CDM. Kwa kuthibitisha hili njoo Igunga. CCM wamelipa MAHARI baada ya kuwanunulia CUF Helkopter, hivyo lazima Hamad Rashid amsifie Mume wake CCM. Lakini makamanda wa CDM hatutishwi na hiyo ndoa yao, CDM mwendo mdundo hadi kieleweke.
Kawaida mke na mume wanaweza kushambuliana wakiwa ndani ya nyumba yao - lakini wakitoka nje lao linakuwa moja, wanafuta tofauti zao na wanaelekeza mashambulia yao kwako. kuwa makini sana mnapo deal na wanandoa.
ina maana hujui cuf wanatunza ndoa yao na ccm?chama cha upinzani tanganyika ni chadema...hiyo hata Bakwata wanajua mbona.
CCM + CUF = Serikali ya kitaifa ya Zanzibar
Serikali ya kitaifa ya Zanzibar = agreement btn CCM and CUF
agreement = ndoa
Conclusion:
CCM +CUF = Ndoa

Wakuu, hili la kuuita ushirikiano wa CUF na CCM ni ndoa, wenyewe hawapendi hili neno!.
imeelezwa hilo neno ndoa ni tusi kwa wenzetu!. angalia hapa
Matusi hayo.

Mimi ni CCM lakini wewe Pasco hii lugha uliyotumia hapa ni ya kishenzi na si lugha ya kisiasa.

Punguani wahed.
Nisianze nini wewe? hakuna ndoa ya kisiasa duniani, sijawahi kuona, onesha moja kama u mkweli.

Hizi lugha za kishenzi pelekeni hukohuko, kama kwenu ni kawaida wengine zinatuudhi. kama huo si ushenzi na matusi ni nini?
Muafaka wa kisiasa wa Zanzibar ni faraja kubwa kwa Wazanzibari kushirikiana na kuijenga nchi yao, na huo muafaka si ndoa, kufikiri hivyo ni kuwatukana Wazanzibari na matusi si uungwana.

Hayo yalianzia huku bara baina ya Tanganyika na Zanzibar ilikuwa ikiitwa ndoa ikapigiwa kelele kuwa hilo si neno jema ni kutukanana, siku hizi halitumiki sasa

Natoa wito tusilitumie tena neno hili neno ndoa ya CCM na CUF!, ni matusi!.

Pasco
 
cuf wajifanyie tathmini wenyewe... muafaka unaslahi kwa znz? au ccm?...chini ya UKAWA znz itakuwa huru... with mamlaka kamili...
.
 
Back
Top Bottom