Mchakamchaka ya CUF chali, yageuka chama cha press conference

Mchakamchaka ya CUF chali, yageuka chama cha press conference

RIP CUF, Rip Mkigoma,Rip Katani...wananchi tuliwapendeni sana ila Mungu amewapendeni zaidi. RIP CUF!

Hivi mungu akikupenda zaidi kuna chuki ya mwanadamu itakayofua dafu? Umejimaliza mwenyewe.

CUF ndio chama mbadala kwa watanzania, CHADEMA ni kengele tu ya kutuamsha kutoka usingizini!
 
Ngoja uamsho waje kutoa matusi hapa

Hii ndio kauli mbiu ya CHADEMA. kweli chadema mna mungu!

Mlitaka kuingia ikulu kwa kauli mbiu hiyo lakini watanzania wapenda amani tuliwashtukia.

Msitake kuingia ikulu kwa kutugawa kidini hamtafanikiwa.
 
Ni jambo ambalo wabashiri wa mambo na wafuatiliaji wa siasa za upinzani hapa Tanzania tulilibashiri mapemaaa.
Hili si jingine bali ni kudorora na baadae kufa kifo cha asili kwa kile kilichoitwa na CUF kuwa oparesheni mchakachaka hadi 2015 ikiwa na kauli mbiu ya dira ya mabadiliko yaani vision for change(V4C).
.

Mbavu zangu weee! Eti CUF imegeuka kuwa chama cha press conference!!!!!

Tuko kwenye theluthi ya kwanza ya mwaka, CHADEMA wameshafanya press confrence o average kwa kila wiki mara moja. Sasa sijui ulikuwa unataka kuwapiga dongo CHADEMA?

CHADEMA ndio chama cha matamko, maandamano na press conference. Jamii imeshawaona wachovu sasa mnatafuta kuungwa mkono kwa kutaka kuwagawa watanzania kwa kauli mbiu yenu ya ; 'CHADEMA TUNA MUNGU'

mungu yupi?
 
Ha haa haaa,wapi Mtatiro,ajibu hoja hizi,maana kama zina ukweli flani hivi!!

Mtatiro sio DR W Slaa ajibishane na mtu ambaye hata asiyeweza kujenga hoja.

Hoja ilishajifia siku nyingi; CHADEMA ndio wanaaongoza kwa kuwa na press conference kila wiki na maandamano at least kwa mwezi mara moja.

V4C inaendelea labda ungeomba tu upewe ratiba ili ukahudhurie mikutano.
 
RIP CUF, Pumzika kwa Aman na Mchakamchaka wako eh
 
Chama cha maandamano na wapanga mipango ya ugaidi je mbona hukisemi?

Ngoja tuwachane hawa madogo, usiwe na wasi wasi CHADEMA ni wepesi mno. Wamesoma lakini hawajaelimika.
 
chadema bana, yaani mnailinganisha chadema na cuf kwa mikakati? This is laughable!

V4c inaendelea mikoani kama kawaida wakati chadema wameshughulishwa na mambo yasiyowajenga kama: Issue ya lwaka na ludo.

chadema ina uhai kwenye mtandao sio kwa wananchi on the ground.

By the way kwanini mnashambulia cuf badala ya ccm?

cuf ina majimbo mangapi?mgombea urais alipata aslimia ngapi ya kura?vipi kule igunga mlikoenda na mtaji wa kura 11,000?be realistic abit.
 
Mkuu kwetu Sumbawanga, mkoani Rukwa, kwa sasa niko Dar na mara kwa mara nipo hapa Lumumba.
Naithamini sana Tanganyika.

Sasa jibu hoja, mchakamchaka wa CUF nani kauua?
Unatakiwa ujue kua harakati za kisiasa silazima zifanywe kimtindo huo (v4c) au mchakamchaka. Chama kama chama kimeona kibadili aina hiyo. Ngoja jibu utalipata 2015
 
cuf ina majimbo mangapi?mgombea urais alipata aslimia ngapi ya kura?vipi kule igunga mlikoenda na mtaji wa kura 11,000?be realistic abit.

Sasa wewe unataka kunichosha. Kumbe ulikuwa unataka uijue CUF vizuri?

Hoja yako ilikuwa sio kufikia conclusion wakati hujuwi CUF ina majimbo mangapi! Too low for you!

Kwani yale matokeo ya urais Chadema wanayatambua?

Unataka kutumia uchaguzi wa Igunga kama kigezo vipi unakubali kwamba tume ya uchaguzi iko huru?
 
Unatakiwa ujue kua harakati za kisiasa silazima zifanywe kimtindo huo (v4c) au mchakamchaka. Chama kama chama kimeona kibadili aina hiyo. Ngoja jibu utalipata 2015

Mchaka mchaka unaendelea. CUF haiwezi kuweka strategies zake mitandaoni kama CHADEMA.
Watanzania wote wanajua kwamba CHADEMA mna migogoro isiyokwisha na kutokuaminiana ndani ya chama chenu.

Katibu mkuu vs Naibu, Makamo mwenyekiti vs uongozi wa Bavicha kule mkoani na maeneo mengine. Kufikiri kuwa mtaongoza serikali kwa namna hii sahauni. CUF will show you the direction kwa vile ina nia njema na watanzania.
 
RIP CUF, Pumzika kwa Aman na Mchakamchaka wako eh

Huyu ni mfano tu wa aina ya vijana wa CHADEMA. hawana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya matusi.

CHADEMA kwanza baada ya uchaguzi wa 2015 ndio mwisho wenu maana mtarudisha yale majimbo mliyoazimwa na CCM.
 
Anae sema CUF imekufa huyo atakua na hitlafu kwenye akilizake. Kwanza anatakiwa atambue kua mpinzani wa kweli ni CUF wengine ni vishuruala tu. Angalia historia ya CUF na misuko suko iliyo ipata kama mpinzani angalia vifungo walio pitia viongozi wake akina Maali Seiph, Juma Hadj Duni wote washapinda ubavu mmoja kwasababu ya harakati zao za kuitetea HAKI ona Profesor alivyo chezea kipigo pale keko yote ni harati za kweli. Sasa kiongozi gani ndani ya CDM aliye pata misuko suko japo kupigwa kofi tu. Hapo utagu ndua kua CDM ni chombo kilicho undwa kunyamazisha upinzani, ni isia zilizo anzia kanisani na kupokewa na waumini wake kama mkombozi wao.

Umetoa historia lakini jiulize malengo CUF yalifikiwa?Kwa nini chama kilingia kwenye mtego wa WA PANYA WA CCM?Ama ni kukosa viongozi wenye upeo wa kuona mbali????
KUKOSA KWENU MBINU UNATAKA NA SISI TUVUNJWE MIKONO???
 
Mtatiro sio DR W Slaa ajibishane na mtu ambaye hata asiyeweza kujenga hoja.

Hoja ilishajifia siku nyingi; CHADEMA ndio wanaaongoza kwa kuwa na press conference kila wiki na maandamano at least kwa mwezi mara moja.

V4C inaendelea labda ungeomba tu upewe ratiba ili ukahudhurie mikutano.
Mkuu jibu hoja,usijadili mtu,baada ya Arusha huo mchakamchaka ulielekea upande gani?..mlifanya utafiti kidogo kabla ya kuanza?..umeleta impact gani hadi hivi sasa?..maana walau Maandamano ya M4C kwa sisi(wananchi) tumeona impact kidogo mf:Kura za Ubunge Igunga kuongezeka toka 0 to 12,000,kushinda kwa Ubunge Arumeru Mashariki,(haya ni kwa uchache)
 
sasa wewe unataka kunichosha. Kumbe ulikuwa unataka uijue cuf vizuri?

Hoja yako ilikuwa sio kufikia conclusion wakati hujuwi cuf ina majimbo mangapi! Too low for you!

Kwani yale matokeo ya urais chadema wanayatambua?

Unataka kutumia uchaguzi wa igunga kama kigezo vipi unakubali kwamba tume ya uchaguzi iko huru?

akili yako ndogo sana.hata kama tume haiko huru (na cuf walijua hilo) bado chama makini kilipaswa kushindana na kutumia mwanya huo kuonyesha namna ambavyo tume sio huru kama cdm walivyopinga matokeo huko igunga na sumbawanga na sasa hakuna wabunge isipokuwa ccm wanachelewesha uchaguzi makusudi.
 
Huyu ni mfano tu wa aina ya vijana wa CHADEMA. hawana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya matusi.

CHADEMA kwanza baada ya uchaguzi wa 2015 ndio mwisho wenu maana mtarudisha yale majimbo mliyoazimwa na CCM.
Pole sana kwa kutofahamu matusi yapoje, CUF ngangari? umenielewa sawa sawa? imeshakufa...
 
CHADEMA bana, yaani mnailinganisha CHADEMA na CUF kwa mikakati? This is laughable!

V4C inaendelea mikoani kama kawaida wakati CHADEMA wameshughulishwa na mambo yasiyowajenga kama: Issue ya Lwaka na Ludo.

CHADEMA ina uhai kwenye mtandao sio kwa wananchi on the ground.

By the way kwanini mnashambulia CUF badala ya CCM?

Tunashambulia CUF coz CUF na CCM ni bwana na bibi.Wote ni Maadui.Cuf bwana,uroho wa madaraka hadi wakafunga ndoa na CCM.Sasa hivi Maalim Seif Chali.Madaraka matamu.Kila siku kiguu na njia yuko Dar naona anapitishwa na Misafara,Alafu eti hataki Muungano.Chezea Ankara Weye.
 
cuf bado ngangari.chama kubwa lenye sera na mipango ya kisomi.cuf ina majimbo 25.chadema msijidanganye.hamna sera zaidi ya fujo na maandamano.cuf wanakosoa serikali na kuonyesha njia.mfano cuf ndjo waasisi wa katiba mpya,daftari la kudum la wapiga kura,elim bure,kufuta kodi ya maendeleo,ufisadi wa ndege ya rais na ufisadi w a rada.pia ndio waanzilishi wa v4c mwaka 2008.chadema ni chama cha kukopi na kupest.walikopi v4c wao wakaita m4c.wakakopi hadi bendera ya chama.cuf ina hazina ya wasomi wasio wa madhabahini kama padri slaa asie na taaluma yoyote zaidi ya upadri.mbowe abakiri mwenyewe kua ni mr.zero.leo ushindanishe cuf na chadema nahisi unalinganisha ukubwa wa tax na treni.lipumba ndio aliepanga uchumi wa dunia kwa miaka 27 ijayo.najua we ni miongoni mwa waliopigika kimaisha kama mimi.tuiunge mkono cuf ili
itukomboe kwa sera zake makini za kiuchumi.tuachane na chama cha upako.muache slaa na mbowe waanzishe kanisa kama lusekelo na kakobe nao wapate pesa kama wenzao maana njaa ndio inawasumbua
 
CHADEMA bana, yaani mnailinganisha CHADEMA na CUF kwa mikakati? This is laughable!

V4C inaendelea mikoani kama kawaida wakati CHADEMA wameshughulishwa na mambo yasiyowajenga kama: Issue ya Lwaka na Ludo.

CHADEMA ina uhai kwenye mtandao sio kwa wananchi on the ground.

By the way kwanini mnashambulia CUF badala ya CCM?
Mkuu labda hujaelewa haijashambuliwa CUF bali mtao mada kaauliza swali V4C imekwamia wapi????

 
Back
Top Bottom