Mchagua jembe si mkulima.

Kwahiyo hata mwenye Grid ya Taifa, wewe twende tu...????
 
Brother mwanamke hapendi. Wapo lkn sio hao ambao vijana wengi wanawakimbilia.

Vijana wengi wanakimbilia kwa wahuni wa kitaa na kuacha wanawake wanaoweza kupenda kwa dhati kabisa.
Hakuna slay qeen anaependa bro.
"Hakuna slay queen anayependa"
Fact!!
 
Kama jembe butu ujibebee tu likuhangaishe shambani, kuwa makini sana unapochagua mwenza wa kuoa na kuanzisha familia tena tuliza akili haswa. Fanya due diligence ya kutosha na uchumba sugu kama CR7 ohoo, hayaa shaur zako.
 
Mm najaribu kumfuatilia comedian mmoja anaitwa Coy Mzungu.

Sasa hivi ana program ya dating ili apate mke wa kuoa. Hivi mkuu unatarajia pale apate mtu sahihi kweli.

Wazazi wetu walianza kuangalia chimbuko la mtu, ukoo wao ukoje na vitu vingine vingi ndio maana walipata wake sahihi.

Siku moja nitashare historia yangu na aliekuwa mrs wangu. Niliambiwa sana lkn nilikuwa mkaidi but finally ilikuja kutimia.

Ex-wife shangazi zake wote hakuna aliekuwa ndani ya ndoa wakat namchumbia Mrs, wote walikuwa wameachika, dada zake wakubwa wawili wote walikuwa wameachika. Mimi nikajifanya mjuaji na vigezo vingi, baada ya miaka 2 nilinyosha mikono mwenyewe akaondoka.
 
Kama jembe butu ujibebee tu likuhangaishe shambani, kuwa makini sana unapochagua mwenza wa kuoa na kuanzisha familia tena tuliza akili haswa. Fanya due diligence ya kutosha na uchumba sugu kama CR7 ohoo, hayaa shaur zako.
Yule manzi kakaa pale kwa sababu Ronaldo yuko juu, ila Nakuhakikishia Ronaldo angepata anguko, manzi angetafuta mtu mwingine. No wants to keep up with a fool
 
Sasa unadhani usipo mpa wewe kwa wengine hapati?

In short this game isn't favorable to men, find your spot and stick in
Basi hata hiyo spot inakuwa haina ulazima wa mwanaume kuifanya pia kama wao ni lazima waweke vigezo vya kupewa pesa.

Kiufupi tu tusipangiane maisha mkuu
 
Umeongea sahihi kabisa,
Ila kwa maisha ya leo, ambapo dunia nilisha kuwa kama kijiji unapata wapi huyo mwenye maadili..

Wazee wenyewe hao ndo hawa hawa millenial, mtu wa miaka 50 mpka 60 a nafukuzia watoto wa elf mbili?
 
Yule manzi kakaa pale kwa sababu Ronaldo yuko juu, ila Nakuhakikishia Ronaldo angepata anguko, manzi angetafuta mtu mwingine. No wants to keep up with a fool
Mtu kuanguka doesn't corelate to being a fool, btw hio ilikua nyongeza tu main point ni chukua muda wako kuchunguza mtu cheki familia yake makuzi yake magonjwa ya kurithi, ushirikina etc. The divorce rate is higher coz people didn't take their time on choosing their partners.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…