MCHAGA NA MBINGUNI Wapi na wapi?

MCHAGA NA MBINGUNI Wapi na wapi?

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
MCHAGA NA MBINGUNI WAPI NA WAPI?
Mchaga alipokufa aliulizwa na
MALAIKA: "kushoto kwako ni peponi, kulia ni Jehanam. ungependa uende wapi?"
MCHAGA: Nitabaki katikati ya pepo na Jehanam
MALAIKA: Kwanini?!
MCHAGA: nikifungua duka hapo wote wa mbinguni na jehanam watafika kununua bidhaa. Chezea mchaga ww?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom