Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
Mkuu hiyo Cutting ya nywele imenikumbusha mbali sanaaaaa.
we ni riafande.....?
Mkuu hiyo Cutting ya nywele imenikumbusha mbali sanaaaaa.
Preta naogopa kukwambia wasije wakanijumuisha na mabwepande.we ni riafande.....?
Boflo tatizo langu ni kuwa mawazo yake hayapo kwenye msosi........................swali ni kitu gani kimchukua mawazo yote hata akasahau jukumu la kula..................???????????????
wee wee...ukimuona mume wangu utablooo.....hana denge namna hiyo.....
Ingekuwa anakunywa bia,mbege na myama choma /kitimoto ningeamini kama ni mchaga.unatuwekea wazaramo wanaofuturu halafu unasema ni mchaga?
Kwanza nikupongeze kwa kuanzisha thread nyingi daily.
Sigma hiyo picha ya mchaga imekukasirisha usibishe.....Kwanza nikupongeze kwa kuanzisha thread nyingi daily.
Pili si hasira Boflo
Sijalalamikia picha yoyote.
nilichokuomba ni kuwa usini-TAG kwa kila thread unayoanzisha.
Zinatokea unnecessary notifications nyingi some of which are not in my interest.
I'll browse title threads and go for the thread of my choice, ndo nilichomaanisha.
View attachment 61783
.............