ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,007
Kuna utambuzi wowote kuwa ni Mchaga?? au Denge!!
kwa denge atakuwa polisi
Kuna utambuzi wowote kuwa ni Mchaga?? au Denge!!
aiseeee baba yungu mchaga anashika kata ya mbege na ilo ni bakuli wala si kata
mmeku umekosea sisi wachaga 2najijua kwa vilemba
ngoja nijipongeze kwa mbege
bila kusahau na iburungusu!wachaga kwa creativity katika biashara..........utawapenda.
![]()
mmmmmh.. Hivi pudding kwa kichaga inaitwaje vile?
Mkuu hiyo Cutting ya nywele imenikumbusha mbali sanaaaaa.View attachment 61783
.............
pudimbege riambe.mmmmmh.. Hivi pudding kwa kichaga inaitwaje vile?