Mchaga bwana!

Mchaga bwana!

senator

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
1,924
Reaction score
68
Mchaga mmoja alidondoka kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa mkewe akaja na kamba mpya akamrushia; mume akauliza umenunua sh.ngapi? Mke akamjibu, buku; akamwambia, irudishe nenda kwa Massawe anauza jero fanya fasta ntazama.
 
Hii inaitwa chacha mkuu. Ya zamani. Hata hivyo nzuri.
 
Sio kweli lakini, ni smart businessmen but cool people also.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom