Mch. Peter Msigwa (Mb), atukana

Mch. Peter Msigwa (Mb), atukana

Status
Not open for further replies.

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,863
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.
 
Kweli wewe ni mzee kama jina lako! Ninaogopa kama nikiwa mzee halafu nikawa kama wewe, Mungu wangu loooooo!
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

wazee kama wewe ndiyo wale aliowasema nape kuwa wanasibiri kufa..
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

holy krap!
 
Hakuna tusi ninashaka ka unajua lugha nadhimu ya kisw ******
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

wewe ndo miongoni mwa aliowasubiri mumtukane
 
Tumsamehe bure amekurupuka utathani amefumaniwa,,, amekosa hekima kidogo hisia zake ndo zinampelekesha
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

Watu hao ndio wewe.
 
Tusi liko wapi hapo kwani huko kwenye facebook mna akili au mchango wowote zaidi ya upuuzi? Msigwa kasema kweli hapo hakuna tusi.
 
labda nyuma ya laptop yangu lakini kwa huku mbele sijaliona hata tusi la mwilini achiliambali la nguoni.....hapa sasa ndipo utakapoona matatizo ya watanzania hivi huyu mwenzetu kabla ya kuandika haya alitumia nini kufikiri?
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.
wee ni ma ------ nini? mbona nimesoma neno wa neno, herufi kwa herufi sioni maneno au neno linaloweza kusomeka au kueleweka kama tusi kwa kile mch. Msigwa alichokisema?
wakati mwingine usiweke post kwa kishabiki bila kufikiria!
kalale
 
My take;
Mchungaji jirekebishe.[/QUOTE]

wakati unashangaa ya msigwa je unajua kuna mawaziri MZIGO??
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

Maandamano,mikutano,foleni za kura na kufungua matawi ndani ya FB?????
Wahi hospitali;hili tatizo la ubongo ulilonalo lisipowahiwa utaanza kuokota makopo.
 
Huenda mleta mada ni M2...si mwawajua wazee wa Usaliti!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom