Mch. Peter Msigwa (Mb), atukana

Mch. Peter Msigwa (Mb), atukana

Status
Not open for further replies.
Tumsamehe bure amekurupuka utathani amefumaniwa,,, amekosa hekima kidogo hisia zake ndo zinampelekesha

bora wewe umeongea vyema, kuna watu ni vipofu humu hawaoni hata alipokosea wamrekebishe.
Wanawafanya baadhi ya watu kuwa ni malaika hawawezi kosea.
 
Naamini vichaa huwa wanawaona wenye akili timamu kama wao ndo vichaa. Aliyeleta hii post lazima ana faili kule mirembe.
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

Mfando PINDA alivyoambiwa -------- ndiyo tusi au matusi yepi unayazungumzia?
 
labda nyuma ya laptop yangu lakini kwa huku mbele sijaliona hata tusi la mwilini achiliambali la nguoni.....hapa sasa ndipo utakapoona matatizo ya watanzania hivi huyu mwenzetu kabla ya kuandika haya alitumia nini kufikiri?

Hahahahahaaaaa mbavu zangu. Jf burudani
 
Sasa tusi liko wapi hapo?! Tumezoea unafiki mbona hata humu jamvini mtu akiongea ujing.a tunasema ni mtoto na ujing.a wake aupeleke kule fb!!
 
Haya ni makubwa. Kwani ukiona kiongozi wa dini tena mchungaji wa waumini anatoa manena machafu ujue ndio mwisho wa ...

Haya tuvute subra tuone.

Barubaru

Ninafikiri sera ya chadema ni matusi na kejeli.

Kiongozi mwenye akili timamu hawezi kumtukana nwanachama.
 
Last edited by a moderator:
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

Tusi liko wapi hapo? Wewe pamoja vibaraka wenzako mna mchango gani zaidi ya kukali majungu na kupandikiza chuki? Ndiyo mafisadi wanaitawala hii nchi is because of you.
 
Barubaru

Ninafikiri sera ya chadema ni matusi na kejeli.

Kiongozi mwenye akili timamu hawezi kumtukana nwanachama.

mkuu tusaidie kutuonyesha tusi au matusi aliyosema au kuandika

angalizo:
unakijenga CHADEMA zaidi tofauti na fikra zako zinazohisi mbinu unayotumia inakidhohofisha
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

CCM mnajitahidi sana kuwaaminisha watu kuwa punje ya ulezi ni kubwa kuliko tairi la trekta .
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

Kwani huyu ni mchungaji wa nini?
 
Mfando PINDA alivyoambiwa -------- ndiyo tusi au matusi yepi unayazungumzia?

Kamanda mi ninavyokufahamu,unaonekana ni mtu wa makamo! Lakini akili yako ndogo kama kete ya kuchezra bao!
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

Kwani facebook kuna mazungumzo ya ana kwa ana kama unavyotaka kuwaaminisha Magamba wenzako!hapo kwenye red uliongea na mh.Msigwa?jamani hapa JF mbona vilaza wanaongezeka kila kukicha?
 
Msigwa toka aunde urafiki na MBOWE na SUGU ni kama ameacha wokovu.

Jiokoe wewe na familia yako hata Maaskofu na Mashekhe wamewahubiria waumini wao lakni wpi.Usimtumainie binadamu mwenzako!!!!!Aaah Kumbe MSALANI! mambo yake yote choo.
 
Barubaru

Ninafikiri sera ya chadema ni matusi na kejeli.

Kiongozi mwenye akili timamu hawezi kumtukana nwanachama.

Unafikiri na kutenda kwa akili ndogo sana afadhali Panzi ana akili ya kumkwepa kunguru!
 
mzee kweli katoka wapi fb wakati wenzake wako kwenye vikao na kahawa wanamjadili range kuwarudisha kibaden na wanamalizia na mechi ya watani itakuwaje
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom