Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu.
Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu.
Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais tumekuja kukuvunja ili tuone utafanya vipi kampeni"
Maneno haya umeyatoa wapi??
Ulikuwa na dhamira gani kuongopa namna hii?
Mbowe alikuwa peke ake wakati anashambuliwa kama mlivyo dai sasa wewe haya maneno ulitoa wapi??
Yalirekodiwa na nani hadi wewe ukayasikia??
Mch nenda katubu kwa hili na uwaombe radhi waumini wako kwa hili ulilofanya.
Alafu hizi tabia uziache hazifai kumbuka uliwahi kumsingizia mzee Kinana kuwa ni jangili kwa masilahi yako ya kisiasa na ukakiri mwenyewe kwa ulimi wako leo tena kwanini unafanya kosa lilelile??
Nenda katubu na uombe radhi waumini wako.
Kichwa chako kidogo, Ni mapema mno kumuhukumu Msingwa.Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu.
Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu.
Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais tumekuja kukuvunja ili tuone utafanya vipi kampeni"
Maneno haya umeyatoa wapi??
Ulikuwa na dhamira gani kuongopa namna hii?
Mbowe alikuwa peke ake wakati anashambuliwa kama mlivyo dai sasa wewe haya maneno ulitoa wapi??
Yalirekodiwa na nani hadi wewe ukayasikia??
Mch nenda katubu kwa hili na uwaombe radhi waumini wako kwa hili ulilofanya.
Alafu hizi tabia uziache hazifai kumbuka uliwahi kumsingizia mzee Kinana kuwa ni jangili kwa masilahi yako ya kisiasa na ukakiri mwenyewe kwa ulimi wako leo tena kwanini unafanya kosa lilelile??
Nenda katubu na uombe radhi waumini wako.
Thibitisha kuwa jeshi la polisi linafanya kazi kisiasa kama unavyodai au ni kwasababu wametoa ripoti kinyume na matarajio yako??Wewe ulikuwepo kwenye eneo la tukio?
Au unaamini jeshi la polisi linalofanya kazi kisiasa?!
Mkuu huyo wala si mchungaji ni muuza mitumba pale Iringa!! Ameabika sana huyu mchingaji fake!!Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu.
Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu.
Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais tumekuja kukuvunja ili tuone utafanya vipi kampeni"
Maneno haya umeyatoa wapi??
Ulikuwa na dhamira gani kuongopa namna hii?
Mbowe alikuwa peke ake wakati anashambuliwa kama mlivyo dai sasa wewe haya maneno ulitoa wapi??
Yalirekodiwa na nani hadi wewe ukayasikia??
Mch nenda katubu kwa hili na uwaombe radhi waumini wako kwa hili ulilofanya.
Alafu hizi tabia uziache hazifai kumbuka uliwahi kumsingizia mzee Kinana kuwa ni jangili kwa masilahi yako ya kisiasa na ukakiri mwenyewe kwa ulimi wako leo tena kwanini unafanya kosa lilelile??
Nenda katubu na uombe radhi waumini wako.
Tuletee na wewe taarifa yako!! Aibu kubwa! Ufuska na ulevi tu unawasumbua!Wewe ulikuwepo kwenye eneo la tukio?
Au unaamini jeshi la polisi linalofanya kazi kisiasa?!
Uchungaji wake una walakiniNi mchungaji huyo mkuu
Policcm imechukua maelezo ya kikao cha bunge eti ndiyo uchunguzi waoWewe ulikuwepo kwenye eneo la tukio?
Au unaamini jeshi la polisi linalofanya kazi kisiasa?!
Wamezoea kusema uongo sifa kuu ya chadema ni uongo umesahau uongo aliomzushia kinana? Halafu anajiita mchungajiManeno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu.