Mch. Msigwa: Kuna uwezekano baadhi ya mawaziri wetu akili zao zimedumaa

CCM NI CHAMA CHAKAVU. Lukuvi kakasirika kaomba mwongozo, Msigwa kamjibu veme kabisa maana ya uchakavu wa ccm na hata Ndugai kaishiwa maneno.
Nimempenda sana Msigwa hana kuremba maneno anakupa facts tuu ukimeza au ukitema shauri yako.
 
Sijawahi kuona mchungaji mwenye upeo mdogo kama Msingwa.
 
Lugha anazotumia msigwa zinafanana na lugha za vijana wa bavicha hapa JF na kwingineko. Inawezelama yeye ndio mkufunzi wa matusi wa vijana wa Bavicha!!!
 
Lugha anazotumia msigwa zinafanana na lugha za vijana wa bavicha hapa JF na kwingineko. Inawezelama yeye ndio mkufunzi wa matusi wa vijana wa Bavicha!!!

mlikatazwa msichangie hapa jf mada zinazokosoa serekali,umeshasahau?
 
pamoja sana kamanda hata kama hawa+pinda wataondolewa wale watakaziba nafasi zao hawatakuwa na jipya wote ni mizigo tu
 
hajaelewa maana chakafu kitu kilichoka hakifai ccm tena kila sekta wizi tuu

Nimemshangaa Lukuvi kuchanganya lugha.Msigwa amesema ccm ni chama chakavu,Lukuvi akafikiri amesema ccm ni chama cha CUF,huyu jamaa ni kilaza kweli.
 
sio mawaziri tu hata wabunge wa ccm ni chuma chakavu!
yule baba wa T.O.T
lusinde
nchemba
maji marefu ...
.
 
Ni kweli mawaziri wengi ni mzigo, lakini hata Mh. Msigwa naye ni mzigo kwa wana Iringa!
huna akili sawasawa upo wapi? unaishi Iringa? unamjua msigwa au unamlinganisha, mbona sisi tupo Iringa? na huyo ni Jembe la Iringa. hapo na wewe Umechakaa kama chama chako ccm, na akili mgando(Zimedumaa) kama mawaziri wako
 
Back
Top Bottom