Mch. Msigwa: Kuna uwezekano baadhi ya mawaziri wetu akili zao zimedumaa

Kabla zijamjibu naomba atueleze yeye ni mchungaji wa kanisa lipi pale Iringa. Hii ni kwa sababu alidandia ajenda ya..... Hivi Msigwa ile RAV 4 yako ulishaichukua kwa Abuu wa NBC?

Huu uharo mpelekee kwa pm. Mwana mchakavu we!
 
mkuu mbona umeshindwa kuwambia kilicho endelea hasa baada ya msigwa kumakiza.

Vipi kuhusu safari ya dubai
vipi kuhusu kujikopesha
vipi kuhusu wabunge viti maalum?

Mkuu Mungi wewe ni chadema sebureni au chadema chumbani.

Lakini bila shaka mmeona jinsi msigwa anavyo changia kuharibu bunge.

CCM ni Chama CHAKAVU
 
Last edited by a moderator:
Rejea swali hapo juu kufuatia kauli ya kauli kutoka kwa katibu mkuu wa CCM KINANA kuwa kuna mawaziri mizigo ktk serikali ya CCM na kauli kutoka kwa mbunge wa Iringa mjini mh. MSIGWA kuwa CCM ni CHAMA CHAKAVU na pia kuna mawaziri wamedumaa kiakili.
 
Ili kuondoa uchakavu wa CCM kudumaa kiakili kwa mawaziri mizigo ni kuachana na ufisadi, ujangili, ahadi hewa, utekelezaji mbovu wa mipango ya maendeleo...
 
Lukuvi nae Waziri ati lol huyu jamaa nae akili yake imedumaa yaani akimuona tu Mch Peter Msigwa ikisimama Bungeni anawashwa sana maake anafahamu kumesimama simba na kuna issue nzito sana italetwa na Kamanda huyo i mean Msigwa so Lukuvi ana hangaika je nitamjibu vipi huyu Nguli wa siasa safi.Lukuvi ni Mbunge njaa na waziri chakavu kwanza sifahamu kasoma wapi huyu mutu
 
mkuu mbona umeshindwa kuwambia kilicho endelea hasa baada ya msigwa kumakiza.

Vipi kuhusu safari ya dubai
vipi kuhusu kujikopesha
vipi kuhusu wabunge viti maalum?

Mkuu Mungi wewe ni chadema sebureni au chadema chumbani.

Lakini bila shaka mmeona jinsi msigwa anavyo changia kuharibu bunge.
Jifunze kuandika kwanza "sebureni" ndio nini?? Au hayo macomputer machakavu unayotumia?
 
Back
Top Bottom