Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,783
yale yale ya akina Kimbwotere........DR Mchungaji Mbunge Mrs Lwakatare
.......nina ombi moja tupitie biblia kikamilifu ili twende kwenye mstari ulionyooka bila hivyo siku 7-8 zijazo itakuwa hatari hapa......
GREAT IDEAS, NA ISIISHIE KWA MAMA LWAKATARE TU.. WAKO WENGI TWENDE KATOLIKI( SIO NORTH AMERICA--(maana wengi wanabaka watoto)..),WASABATO( SIO MASALIA....), ....MASHAHIDI WA YEHOVA....ANGLICAN(SIO WALE WA MASHOGA)..
KWA KIFUPI HAKUNA ANDIKO LOLOTE KWENYE BIBLIA LINALOHUSISHA SWALA LA WAFU KUWA WANAZUNGUMZA AU WANARUDISHWA...HAMNA....HAMNA....
HAKUNA MISUKULE WALA WATU WAFANANAO NA HAO KWENYE BIBLIA...
HAYO MAFUNDISHO YA MAMA LWAKATARE HAYANA UTHIBITISHO WA KIBIBLIA.....
Mnaosema ni Kazi ya Mungu, mmeshandanywa sana kuna ''God is not the author of confusion' but of peace'' 1 st Corinthians 14:33
Waberoya