Mch. Antony Lusekelo na "shombo"

Mch. Antony Lusekelo na "shombo"

Katika mahubiri yake leo, Mzee wa upako amewambia wanaume ambao wanaoa wanawake waliokwisha olewa au wamezaa kuwa kama hawaogopi "Shombo" waoe tu. Waumini wakaonekana kushangaa!!! Akasema NDIOOOOOOOOO!!! kuwapoza.
Wanaume wenzangu tulioguswa, tufanyeje?

kwa mara ya kwanza nasikia nabii ana a.k.a
 
Mtu anaweza kuleta mada kwa kupotosha ajabu wachangiaji wanakuwa wengi(wenye uwelewa hafifu).
 
Huyu mtu anamatatizo. sijawahi kusikia akihubiri kuhusu habari za dhambi na uzima wa milele. yeye kutwa anahubiri mafanikio ya duniani. utasikia chukua gari, oh chukua semitrailer, oh nakupa nyumba utakuwa baba mwenye nyumba. funguweni macho watu wa Mungu. siku za mwisho zaja hupesi.......

Utatoaje kama utohubiriwa mema ya nchi
 
Aache ubaguzu aubiri upendo na siyo kusimanga wanawake kwani hata Adam pale bustanini SI alipata shombo Tu baada ya hawa kudanganywa na kutoa tunda asilete za kuleta na kianza kudhalilisha wanawake waliozaa au kuolewa na kuachwa au kufiwa .Mimi napinga huu udhalilishaji kwani Hana cha kuubiri au kufundisha

Huyu mchungaji kama alibemendwa hivi,aendelee tu kuwaibia waumini wake lakini aache udhalilishaji,sie tuna uhakika gani kuwa mamayake sio shombo.
 
Aache ubaguzu aubiri upendo na siyo kusimanga wanawake kwani hata Adam pale bustanini SI alipata shombo Tu baada ya hawa kudanganywa na kutoa tunda asilete za kuleta na kianza kudhalilisha wanawake waliozaa au kuolewa na kuachwa au kufiwa .Mimi napinga huu udhalilishaji kwani Hana cha kuubiri au kufundisha
Hiyo yote tisa kuna siku aliponda wanaume wafupi eti wewe mwanaume mfupi utaoaje mwanamke mrefu afu wewe ndo kichwa cha familia mfupi kushindwa mkeo!!
 
Huyu mtu anamatatizo. sijawahi kusikia akihubiri kuhusu habari za dhambi na uzima wa milele. yeye kutwa anahubiri mafanikio ya duniani. utasikia chukua gari, oh chukua semitrailer, oh nakupa nyumba utakuwa baba mwenye nyumba. funguweni macho watu wa Mungu. siku za mwisho zaja hupesi.......

Mkuu umenena! Dini huwafanya watu wasijitambue Kabisa. Kuna siku nimesikia alisema kwamba watu wanaokwenda Kanisani kwake Hawamfuati Mungu wala Yesu maana wamemuacha majumbani Kwao. Pale wanafuata miujiza yake! Du nikajua kumbe Ana nguvu za Giza! Lakini kwa mshangao Mijitu haijashtuka tu inazidi kumpatia Msimbazi na yeye kujiwekea zake mfukoni akitanguliza 'Asante brother'!
 
Alitoa mfano wa mfalme Daudi alivyomrejea mkewe wa zamani ambaye by then alikuwa mwanamke wa mwanaume mwingine. Akasema hakuogopa 'shombo'. Alimsifia kwa hilo
Watu wametafsiri vingine kumbe alikuwa anawatia moyo wafanye maamuzi wasijiulize ulize
 
Acha umbea na uongo leo kile kipindi chake leo kimerushwa hewani na mimi nilikiangalia takribani saa nzima hayo uliyoyasema hakuyasema acha uongo dont be stupid.
 
Acha umbea na uongo leo kile kipindi chake leo kimerushwa hewani na mimi nilikiangalia takribani saa nzima hayo uliyoyasema hakuyasema acha uongo dont be stupid.

Hata ukimtetea Lusekelo bado nitaamini ni.muongo mkubwa.mahubiri ga kila cku magari,hela,nyumba basi habari za dhambi na uzima wa milele mwiko!
 
Kitu kimoja nikwamba watu waache dhambi wamfate Yesu c lusekelo yeye anahubiri vya mwilin
 
Back
Top Bottom