Eti wageni wakiulizwa makanisani kuwa mmetoka wapi? , hujitambulisha kwa mchungaji x. Yaani makanisa ni ya watu. Sikiliza ushuuda au shukurani, akianza na Mungu sauti huwa ni ya kawaida. Akimgeukia tu mchungaji sauti inapanda na kuanza kilia, kusisitiza kuwa mchungaji alimsaidia zaidi ya Mungu. Inashangaza sana, hasa wanawake ndio vituko kwa kukumbatia imani potofu.