CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Katika mahubiri yake leo, Mzee wa upako amewambia wanaume ambao wanaoa wanawake waliokwisha olewa au wamezaa kuwa kama hawaogopi "Shombo" waoe tu. Waumini wakaonekana kushangaa!!! Akasema NDIOOOOOOOOO!!! kuwapoza.
Wanaume wenzangu tulioguswa, tufanyeje?
Wanaume wenzangu tulioguswa, tufanyeje?