Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
pengine alikuwa mtotoItakua miaka ya 98-2005 hukufuatilia siasa za CUF,ya kawaida sana hayo,sawa tu na kuvaa gwanda kwenye jua na joto kali la dar bila kujali makalio yataloa kiasi gani kwa jasho
Nilikuwa maeneo ya mahakama kuu leo mchana. Kwa kweli Le profesa ana mbwembe za kiulinzi na kiushabiki usipime. Yaani fuso limejaa wamama, halafu kuna gari ndogo kama nne zikiwa na makomandoo wa usalama kama anapita Obama vile, wanaruka kwenye gari kabla haijasimama vizuri kuchukua nafasi zao kumlinda prof. Kwa haraka haraka ile ni gharama kubwa kuwaleta washabiki na walinzi wa aina ile. Ana hela sana Le profeseri! Hii dunia hii ni shida kwa kweli lakini tutakomaa nayo hivyo hivyo.
Sikuweza kipiga picha maana wale jamaa yawezekana wapo juu ya sheria, nimeona gari la magereza likiwapisha wapite kwanza.
Huyu ndiye raia pekee wa Tanzania aliyefunguliwa milango ya ikulu ili kutoa pongezi , njaa inadhalilisha sana , angalia viatu vilivyojaa vumbi ! Alienda kwa miguu ?Nilienda kumsalimia tu jamani....[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji16][emoji31][emoji31][emoji31]
View attachment 443212
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Itakua miaka ya 98-2005 hukufuatilia siasa za CUF,ya kawaida sana hayo,sawa tu na kuvaa gwanda kwenye jua na joto kali la dar bila kujali makalio yataloa kiasi gani kwa jasho
ndo umeandika nini sasa .wengi hamumpendi Lipumba kwa sababu ya chuki zenu binafsi. kati ya ninyi na profesa nani anakijua chama?
wakati mwingine tukae kimya tu kama vitu hatuvijui.