Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,229
Nakusoma vizuri, do what makes you happy.
Tikeee.........
Nakusoma vizuri, do what makes you happy.
kwani wewe hujaolewa...?
bado na wala sina mpango huo............
hizo mbwembwe unazozisema wewe ndio alizoonesha shemeji yangu wa kike miezi 8 kabla ya ndoa na miaka 7 sasa imepita tangu afunge ndoa na kaka yangu na ndio bado mchapa kazi, anatupenda, ananinunulia zawadi, anamletea mama yangu vitenge akitoka safari mpaka leo hii ninapoandika haya maneno hapa bado nikipigika huwa ananikopesha sana pesa zake. so, si kila mwanamke ni msanii, wengine wapo real kulingana na malezi aliyopitia. usipende kukariri kijana mwenzanguAmani iwe nanyi ndugu zangu JF,
Poleni kwa pilikapilika za maisha na matamko/miluzi mingi inayoibuka kila kukicha.Leo hii nataka tutathimini hizi mbwembwe wanazokua nazo akina dada kwa wachumba zao na hasa ukweni wanapotambulishwa kabla ya ndoa.
Pindi tu wanapotambulishwa ukweni huwa na heshima nzuri kupita kiasi, yani unaweza kujiuliza binti huyu amezaliwa au kashushwa toka mbinguni?
Anazungumza kwa heshima na adabu zote kila wakati na huwa mnyenyekevu kwa watu wote sambamba na kuwa mtiifu kwa kila atakachoambiwa.
Anaamka asubuhi na mapema kuliko hata alivyozoea na hufanya kazi zote peke yake mpaka nyote mnasema yes huyo ndo binti wa kuoa/kuolewa na mwanangu. Kila kazi anataka aifanye yeye mwenyewe bila hata kusaidiwa.
Katika kipindi hiki mwanaume na ndugu zake wanakua na furaha na taswira mpya akilini mwao bila kujua wayaonayo ni mbwembwe za muda mfupi tu zisizo na uhalisia. Umeona wapi mtu anafanya kazi kama mashine pasi kupunzika?
Picha linabadilika baada ya ndoa, hapo ndipo utaifahamu tabia halisi ya mkeo/mkaza mwana. Atachelewa kuamka, atafanya kazi akijisikia na ataleta mapozi mpaka kwa watu muhimu kwako.Haya yote nimeshuhudia mara kadhaa, sasa najiuliza na huko kwenu yapo au ni huku kwetu tu?
acha kuchekesha basi na hiyo mijigambo yote ya kusubiri mtu.....na mengine...hahhahqhaahahah
Haswa tena analala wapi?Kabla ya ndoa anaenda kufanya nini ukweni?!😉
Hongera kwa kupata shem OG.hizo mbwembwe unazozisema wewe ndio alizoonesha shemeji yangu wa kike miezi 8 kabla ya ndoa na miaka 7 sasa imepita tangu afunge ndoa na kaka yangu na ndio bado mchapa kazi, anatupenda, ananinunulia zawadi, anamletea mama yangu vitenge akitoka safari mpaka leo hii ninapoandika haya maneno hapa bado nikipigika huwa ananikopesha sana pesa zake. so, si kila mwanamke ni msanii, wengine wapo real kulingana na malezi aliyopitia. usipende kukariri kijana mwenzangu
you were weak!Ilikuwa fursa kipindi hicho niko kigori, alinitibua mmoja tuu baasi akafelisha woote. Sikuwahi kutamani tena kufungwa pingu za maisha, hadi leo sijawahi juta na sitakaa nijute..... niko hivi hivi juzi jana na leo.
Ukibisha utakuwa na lako tuu.
Kasie.
acha kuchekesha basi na hiyo mijigambo yote ya kusubiri mtu.....na mengine...hahhahqhaahahah
you were weak!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila pingu huwezi pata huduma kwa wakati ila hata juu ya mti inaliwaga tu.
okayYou are not strong enough to see Kasie's weakness.
Kasinde uzuri wote huo hujaolewa tu?Nashukuru Mungu sikupitia hayo maana akili yangu inatafsiri vibaya, haya wenye vifungo vya maisha mkuje mtiririke humu, ngoja nielekee kwa masinia maseja.
Kasinde uzuri wote huo hujaolewa tu?
Ni uamuzi tu.Ingekuwa uzuri ndo kuolewa..... wasanii wa bongo movie wote na wasanii wa mziki wangeshaolewa......
Just few to mention....
Wema sepenga, Jackie wollip, Lina, Vanee mdee, Mobitoo
Hivo Kasie asikushangaze si wa kwanza wala wa mwisho kutokuolewa.
Kasie.
Ni uamuzi tu.
Life is not a mathematic equation that need only one answer.Yaap, For Kasie marriage is one of the unnecessary things..... that's it.
Kasie.