Mbwembwe za mabinti ukweni kabla ya ndoa

Hahahahahhahaaa you you..... you the son of Cox being sturborn to Kasie eeeh hehehehehe......
How are you by the way? Has your day start? Have bright one then.

Kasie.
Hukutaka pingu za maisha(kulala uchi), vipi kuhusu watoto? Au nao huna interest nao? I once heard a girl akisema hataki kuzaa kabisa, hataki stress za kulea, labda na wewe upo kwenye kundi hilo?
 
Am doing great Kasie and the day has just begun
 
Hukutaka pingu za maisha(kulala uchi), vipi kuhusu watoto? Au nao huna interest nao? I once heard a girl akisema hataki kuzaa kabisa, hataki stress za kulea, labda na wewe upo kwenye kundi hilo?

Wewee unapima kumbukumbu ya Kasie au kina cha maji?
Hii sio mara ya kwanza unaniuliza hili swali......

Kama kweli hujui nakupa kazi ya kusoma thread alizoanzisha Kasie utapata jibu la swali lako.

Duh!una kumbukumbu nzuri kumbe
 
Ndio mkuu kote wako hivyo hasa hichi kizazi cha Kitwete na Magufuli ni full maigizo maweridhi kutoka bongo movie
 
Wewee unapima kumbukumbu ya Kasie au kina cha maji?
Hii sio mara ya kwanza unaniuliza hili swali......

Kama kweli hujui nakupa kazi ya kusoma thread alizoanzisha Kasie utapata jibu la swali lako.

Kasie.
Nimesahau bhana, nikumbushe basi kidogo...
 
Back
Top Bottom