Mbwembwe za mabinti ukweni kabla ya ndoa

Mbwembwe za mabinti ukweni kabla ya ndoa

Ingekuwa uzuri ndo kuolewa..... wasanii wa bongo movie wote na wasanii wa mziki wangeshaolewa......
Just few to mention....

Wema sepenga, Jackie wollip, Lina, Vanee mdee, Mobitoo

Hivo Kasie asikushangaze si wa kwanza wala wa mwisho kutokuolewa.

Kasie.
Kwa muonekano tu,wewe ni mkali kuliko hao artificial wote uliowataja,sepenga nyama zimelegea kwa mkorogo na ngono,huyo V-ela ana vimiguu kama waya,Wolopy dubwana la ovyo tu,hufanani nao kabisa,ndiyo maana nimeshangaa.
 
Hahahahaaa nafikiri nishafikiri unachokifikiri looh

Kasie is an old mama nearly a granny you know.....

Am age mate of Hon. Migiro.
 
Hahahahaaa nafikiri nishafikiri unachokifikiri looh

Kasie is an old mama nearly a granny you know.....

Am age mate of Hon. Migiro.
Ulichofikiri sicho nilichofikiri isipokuwa usichofikri ndicho nilichofikiri.
Uzuri ni wa mtu ni kama mvinyo,kadri umri unavyoenda ndiyo unakuwa zaidi ya jana,mimi bado nakuona hivyo,na hasa kwa haiba kama ya migiro.
 
Hahahahahahhaa dadii akikusoma hapa atakukimbiza heheheheh haya bana nimeacha kufikiri maana fikra zinaweza kuleta balaa ikawa dhahma.

Wine strategy eeh hahahaha so Kasie is an old wine hehehehehehee

Kweli ukiona chongo huita kengeza hahahhaaa

Haya bana.

Kasie.
 
Igizeni tu bhana wanaume wa kuoa siku hizi ni wakumulika na tochi,ili ujizolee kura na upande wa wazazi na ndugu maana wana impact kubwa sana kwenye suala la ndoa
 
Unaoa mke ili aje kuwa mfanyakazi wako au mwenza wako?
 
Kozi ya jeshi sifa moraly
baada ya kozi una relax.
Wanasiasa wanakua wanyenyekevu wakati wa kampeni sasa subiri washinde uchaguzi uone balaa lake
 
Hahahahahahhaa dadii akikusoma hapa atakukimbiza heheheheh haya bana nimeacha kufikiri maana fikra zinaweza kuleta balaa ikawa dhahma.

Wine strategy eeh hahahaha so Kasie is an old wine hehehehehehee

Kweli ukiona chongo huita kengeza hahahhaaa

Haya bana.

Kasie.
Uchongo wasioutaka wengine,ndiyo uliobaka moyo,kwani kila mtu analochaguo lake,dadii akiona atajua hakukosea kuchagua.
 
Igizeni tu bhana wanaume wa kuoa siku hizi ni wakumulika na tochi,ili ujizolee kura na upande wa wazazi na ndugu maana wana impact kubwa sana kwenye suala la ndoa
Mkuu ndoa ni watu wawili tu,ukisikiliza na kuangalia wengine basi kila utakae mpata hatakufaa kwa kuwa hakuna aliye kamili,wewe utachagua mpaka unakongweka,wakati hao unaowaogopa na kuwafanya sehemu ya wewe,watakuwa wanaendelea na ndoa zao,wanafaidi mapochopocho na baadae watakuona una KASORO au HILA kwa kutooa au kuchagua sana,jijali mwenyewe.
 
Amani iwe nanyi ndugu zangu JF,

Poleni kwa pilikapilika za maisha na matamko/miluzi mingi inayoibuka kila kukicha.Leo hii nataka tutathimini hizi mbwembwe wanazokua nazo akina dada kwa wachumba zao na hasa ukweni wanapotambulishwa kabla ya ndoa.

Pindi tu wanapotambulishwa ukweni huwa na heshima nzuri kupita kiasi, yani unaweza kujiuliza binti huyu amezaliwa au kashushwa toka mbinguni?
Anazungumza kwa heshima na adabu zote kila wakati na huwa mnyenyekevu kwa watu wote sambamba na kuwa mtiifu kwa kila atakachoambiwa.

Anaamka asubuhi na mapema kuliko hata alivyozoea na hufanya kazi zote peke yake mpaka nyote mnasema yes huyo ndo binti wa kuoa/kuolewa na mwanangu. Kila kazi anataka aifanye yeye mwenyewe bila hata kusaidiwa.

Katika kipindi hiki mwanaume na ndugu zake wanakua na furaha na taswira mpya akilini mwao bila kujua wayaonayo ni mbwembwe za muda mfupi tu zisizo na uhalisia. Umeona wapi mtu anafanya kazi kama mashine pasi kupunzika?

Picha linabadilika baada ya ndoa, hapo ndipo utaifahamu tabia halisi ya mkeo/mkaza mwana. Atachelewa kuamka, atafanya kazi akijisikia na ataleta mapozi mpaka kwa watu muhimu kwako.Haya yote nimeshuhudia mara kadhaa, sasa najiuliza na huko kwenu yapo au ni huku kwetu tu?

Cjaolewa naenda kufanya nin ukweni? Mwsho wa siku nijifanyishe mikaz we na kuolewa nisiolewe. Ukwen ntaenda tambulishwa na silali hapo, automatical sitafanya hayo makazi.
 
Uchongo wasioutaka wengine,ndiyo uliobaka moyo,kwani kila mtu analochaguo lake,dadii akiona atajua hakukosea kuchagua.

Hahahahahhahaaa you you..... you the son of Cox being sturborn to Kasie eeeh hehehehehe......
How are you by the way? Has your day start? Have bright one then.

Kasie.
 
Back
Top Bottom