love you
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 727
- 728
wangekua wanaridhika basi..utahenya weee mwisho WA siku bado utakua mbaya tuu..Maigizo yatawaua kisa chakuhenyeka kufurahisha watu mini?
wangekua wanaridhika basi..utahenya weee mwisho WA siku bado utakua mbaya tuu..Maigizo yatawaua kisa chakuhenyeka kufurahisha watu mini?
Wewe unafaa kuoa wewe.Hata ningekuepo mimi obviously ningejitahid ilimradi wasinijue udhaifu wangu.. ni mme wangu tuu ndo anatakiwa kuujua ubovu wa mwanamke wake Na kukabiliana nae
Kweli wewe komandoo, na huduma ya muda mfupi unaipataje au nayo umeisahau kabisa?Ilikuwa fursa kipindi hicho niko kigori, alinitibua mmoja tuu baasi akafelisha woote. Sikuwahi kutamani tena kufungwa pingu za maisha, hadi leo sijawahi juta na sitakaa nijute..... niko hivi hivi juzi jana na leo.
Ukibisha utakuwa na lako tuu.
Kasie.
Hayo ndiyo maisha [emoji122] [emoji122] [emoji122].Mie hata kuigiza siwezi am really...na amka mda nilio zoea, nafanya shughuli za ndani ya uwezo wangu nikichoka napumzika
chakujifanya Mie ni trekta natafta nini..kuigiza siwez mama mkwe nipende jinsi nilivyo
Naskia kule napo kuna kamati ya ufundi....Uzuri hata huko ukweni wanakupokea kwa kuigiza wanabadirikaga hasa wakiijua familia yako. Tena bora ukutane na baba mkwe kuliko mama na mawifii utajuta
Hapo umesakafia kabisa mkuu.Nadhani hili si kwenye masuala ya ndoa/mapenzi pekee.
Katika kila jambo watu huijengea jamii inayowazunguka "TASWIRA" chanya ili jamii husika iwakubali na kuwaamini.
NB: Hata wachawi hawalogi mchana.
Swali zuri tusubir majibuKweli wewe komandoo, na huduma ya muda mfupi unaipataje au nayo umeisahau kabisa?
Kaka yangu alioa kwa kigezo cha ulokole.Hapo kuna aina tofauti ya wanawake kuna wachafu wa asili yani huyo hata ufungue darasa la usafi daily yeye haelewi somo hao ndio waigizaji wakuu kificha makucha
Wengine ni wale wanapenda kujipendekeza ukweni ili apendwe zaidi ndoa itiki kwa kujichekesha na kuleta vizawadi hawajambo
Wengine ni wale wanajiamini yeye haangalii unamuonaje anafanya impasavyo sio kufurahisha wakwe
Ngoja nikusaidie kushangaa, kwa wakwe unaenda kufanyaje sasa before ndoa? Yani mtu hujaolewa ila wakwe wamekuzoea na wameshajua hadi na weakness zako zote. Hivi viherehere ndo wengine wanakataliwaga mapemaaaa khaa.Kabla ya ndoa anaenda kufanya nini ukweni?!😉
Very true!!!Amani iwe nanyi ndugu zangu JF,
Poleni kwa pilikapilika za maisha na matamko/miluzi mingi inayoibuka kila kukicha.Leo hii nataka tutathimini hizi mbwembwe wanazokua nazo akina dada kwa wachumba zao na hasa ukweni wanapotambulishwa kabla ya ndoa.
Pindi tu wanapotambulishwa ukweni huwa na heshima nzuri kupita kiasi, yani unaweza kujiuliza binti huyu amezaliwa au kashushwa toka mbinguni?
Anazungumza kwa heshima na adabu zote kila wakati na huwa mnyenyekevu kwa watu wote sambamba na kuwa mtiifu kwa kila atakachoambiwa.
Anaamka asubuhi na mapema kuliko hata alivyozoea na hufanya kazi zote peke yake mpaka nyote mnasema yes huyo ndo binti wa kuoa/kuolewa na mwanangu. Kila kazi anataka aifanye yeye mwenyewe bila hata kusaidiwa.
Katika kipindi hiki mwanaume na ndugu zake wanakua na furaha na taswira mpya akilini mwao bila kujua wayaonayo ni mbwembwe za muda mfupi tu zisizo na uhalisia. Umeona wapi mtu anafanya kazi kama mashine pasi kupunzika?
Picha linabadilika baada ya ndoa, hapo ndipo utaifahamu tabia halisi ya mkeo/mkaza mwana. Atachelewa kuamka, atafanya kazi akijisikia na ataleta mapozi mpaka kwa watu muhimu kwako.Haya yote nimeshuhudia mara kadhaa, sasa najiuliza na huko kwenu yapo au ni huku kwetu tu?
Nakusoma vizuri, do what makes you happy.Ilikuwa fursa kipindi hicho niko kigori, alinitibua mmoja tuu baasi akafelisha woote. Sikuwahi kutamani tena kufungwa pingu za maisha, hadi leo sijawahi juta na sitakaa nijute..... niko hivi hivi juzi jana na leo.
Ukibisha utakuwa na lako tuu.
Kasie.
Hujaona story yake ya "jiko la gas"? Ina maudhui ya ulichouliza.Kweli wewe komandoo, na huduma ya muda mfupi unaipataje au nayo umeisahau kabisa?
kwani wewe hujaolewa...?Nashukuru Mungu sikupitia hayo maana akili yangu inatafsiri vibaya, haya wenye vifungo vya maisha mkuje mtiririke humu, ngoja nielekee kwa masinia maseja.
Amani iwe nanyi ndugu zangu JF,
Poleni kwa pilikapilika za maisha na matamko/miluzi mingi inayoibuka kila kukicha.Leo hii nataka tutathimini hizi mbwembwe wanazokua nazo akina dada kwa wachumba zao na hasa ukweni wanapotambulishwa kabla ya ndoa.
Pindi tu wanapotambulishwa ukweni huwa na heshima nzuri kupita kiasi, yani unaweza kujiuliza binti huyu amezaliwa au kashushwa toka mbinguni?
Anazungumza kwa heshima na adabu zote kila wakati na huwa mnyenyekevu kwa watu wote sambamba na kuwa mtiifu kwa kila atakachoambiwa.
Anaamka asubuhi na mapema kuliko hata alivyozoea na hufanya kazi zote peke yake mpaka nyote mnasema yes huyo ndo binti wa kuoa/kuolewa na mwanangu. Kila kazi anataka aifanye yeye mwenyewe bila hata kusaidiwa.
Katika kipindi hiki mwanaume na ndugu zake wanakua na furaha na taswira mpya akilini mwao bila kujua wayaonayo ni mbwembwe za muda mfupi tu zisizo na uhalisia. Umeona wapi mtu anafanya kazi kama mashine pasi kupunzika?
Picha linabadilika baada ya ndoa, hapo ndipo utaifahamu tabia halisi ya mkeo/mkaza mwana. Atachelewa kuamka, atafanya kazi akijisikia na ataleta mapozi mpaka kwa watu muhimu kwako.Haya yote nimeshuhudia mara kadhaa, sasa najiuliza na huko kwenu yapo au ni huku kwetu tu?
Kweli wewe komandoo, na huduma ya muda mfupi unaipataje au nayo umeisahau kabisa?