Nyamchobela
Member
- Sep 17, 2013
- 61
- 6
nahisi unamaanish kilimanjaro stars,,,
Manake hiyo ilofuzu sio taifa stars
Manake hiyo ilofuzu sio taifa stars
Kiingereza sio ishu,ishu ni kwamba alianza kwa kuongea kiingereza alipoona kina mshinda ndo akaomba poo na kuomba ajieleze kwa kiswahili.kwa nini asingeanza na kiswahili toka mwanzo??tatizo watanzania hatutaki kukubali kwamba hatujui
Taifa Stars imefuzu kucheza Nusu fainali baada ya kuivurumisha Uganda, na mtu aliye teuliwa man of the Match ni Mbwana Samatta ana hojiwa na Ssport kwa kimombo akashindwa na kuomba kuhojiwa kiswahili
kwa hili la Samatta ni dhahiri shahiri wanatakiwa kupelekwa twishen ya kidhungu ili wawe realy Profeshenal
mkuu kuna wachezaji wengi tu wa kulipwa katika ligi mbalimbali duniani ambao hutumia lugha zao na bado wanakubalika,vipi wewe kutekwa na ukoloni,acha hizo ngd jikubali na wengine watakukubali,au ndio nyie mnaotoka vijijini kwenu mkifika mjini mnakataa kabila lenu na kijiji piaTaifa Stars imefuzu kucheza Nusu fainali baada ya kuivurumisha Uganda, na mtu aliye teuliwa man of the Match ni Mbwana Samatta ana hojiwa na Ssport kwa kimombo akashindwa na kuomba kuhojiwa kiswahili
kwa hili la Samatta ni dhahiri shahiri wanatakiwa kupelekwa twishen ya kidhungu ili wawe realy Profeshenal
Taifa Stars imefuzu kucheza Nusu fainali baada ya kuivurumisha Uganda, na mtu aliye teuliwa man of the Match ni Mbwana Samatta ana hojiwa na Ssport kwa kimombo akashindwa na kuomba kuhojiwa kiswahili
kwa hili la Samatta ni dhahiri shahiri wanatakiwa kupelekwa twishen ya kidhungu ili wawe realy Profeshenal
Taifa Stars imefuzu kucheza Nusu fainali baada ya kuivurumisha Uganda, na mtu aliye teuliwa man of the Match ni Mbwana Samatta ana hojiwa na Ssport kwa kimombo akashindwa na kuomba kuhojiwa kiswahili
kwa hili la Samatta ni dhahiri shahiri wanatakiwa kupelekwa twishen ya kidhungu ili wawe realy Profeshenal
Yakubu,
Now this is interesting...especially when it comes from the Economist Magazine
Dont get me wrong as i think it is incredibly concise and detailed, covering the entire globe,their depth and wide coverage is very impressive, and I like the way that they do not need to grab readers with sensationalism, like many othe papers most junk out there which still have narrow view of Africans and their leaders.
Dont forget that the Economist has a very specific stance, ie. free market championing among other things. The article was abit simplistic even though according to the Economist standard of Journalism (RIGHTWING) they were overall favourable to JK but be adviced it wont last long.
waiting for Mwanasiasa's input on this
Weka picha tuone: