Ivran
Member
- Jun 3, 2017
- 17
- 7
ukiwa kama mwanamichezo ambaye umeshuudia fainali ya UEFA ambayo ilikuwa ya kuvutia na kupendeza
tulishuudia real madrid akitwaa kombe kwa kumfunga juventus mabao 4 kwa 1 ambapo ulikuwa ni mchezo wa kuvutana kwa pande zote mbili
ukiwa kama mpenda soka unadhani ni mchezaji gani ambaye alistahili kuw man of the match katika fainali ya UEFA